The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Anatubeba mpk aibu
N A K A Z I AHuyu jamaa mnae mwita BaBu naomba mmwaaaaaache.View attachment 1996311

Uchezaji wa Bissaka unatia kichefuchefu.
Hamna kitu..mtu anapokea mpira hadi afirikieee ndo atoe pasi..Mctomy ni jipu kwakweli sema halionekani tu.
Ni kama nayaelewa maneno ya Bavaria. Aliwahi kusema Ole anavi-element vya ubaguzi, haiingii akilini wale mabeki wote watatu wakiwa fit eti huyu msenge Maguire ndio anatafutiwa nani wa kucheza nae wakati wote wanamzidi uwezo.Bailly eti anawekwa nje na Maguire..absolutely nonsense..asingecheza leo bailly tungepigwa hata tano
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mechi ambayo hatoi boko..anacheza kama choko..captain mzima..Ni kama nayaelewa maneno ya Bavaria. Aliwahi kusema Ole anavi-element vya ubaguzi, haiingii akilini wale mabeki wote wanne wakiwa fit eti huyu msenge Maguire ndio anatafutiwa nani wa kucheza nae wakati wote wanamzidi uwezo.
Hata huu mfumo wa kuanzisha mabeki watatu pale nyuma ni namna tu ya kumu-accomodate huyu msenge Harry ila anatugharimu sana. Michezo yote aliyecheza msimu huu ametoa maboko.
Si tulisema ikitokea nafasi ya kumsajili Ronaldo au Messi haijalishi ulikuwa na mpango gani unasitisha ulichotaka kufanya ili utumie fursa ya kuwajumuisha kikosini kwako. Hawa watu wana-deliver regardless ya changamoto wanazokutana nazo.Huyu cr7 ni kiumbe hatari sana kwenye soka, yn ilifaa tusinunue huyo DM wanayemtaka lkn awepo cr7 cz kukosa ronaldo saizi tupo europa kama kawaida yetu.
I co-sign this.I think back three ya Bailly Lindelof na Varane inaweza kufanya kazi vizuri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
AWB,Bailly, varane, linderlof, tellesBailly eti anawekwa nje na Maguire..absolutely nonsense..asingecheza leo bailly tungepigwa hata tano
Sent using Jamii Forums mobile app