Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mm alinichosha pale alipotuaminisha tuna uhaba wa right wing.
Ole ni ngumu kumuelewa anataka nini, wachezaji anapewa ila hajui kuwatumia kupata matokeo.

There's no way VDB na wenzake wengine wata-develop kama kila mashindano hawapati nafasi. Ole ni mgumu sana japo kufanya a small change kwenye kikosi chake ili kuwapa confidence wachezaji wake wa bench. Siku tukipata majeruhi au emergency yoyote muda tutakaotaka kumtumia VDB atakuwa ameshapoteza morali na kujiamini uwanjani.
 
Kwa huu mfumo Sancho hana namba na muda alipewa ila kama Telles, Dalot na VDB walipaswa waanze kuwapumzisha Bruno, Shaw na AWB. Ukiachana na masuala ya rotation huu mfumo wa beki 3 nyuma unawafaa zaidi Telles na Dalot maana nyuma tayari kuna vitasa kama Varane na Baily.

Weekend tuna game ngumu sana ilifaa tufanye rotation siyo kila siku sura zilezile. Ole muoga sana wa mambo.
Dalot mechi ya Westham alicheza upumbavu ya EFL..na kuna game aliingia akacheza wingback ikawa utopolo..I did rather play impotent AWB kwenye hiyo nafasi,,kwanza AWB ameimprove kidogo kwenye hilo eneo na ana advantage ya kukaba..

Dalot,Telles na VdB walicheza game ya Westham ya EFL na tuafungwa..

Na mechi hii ni ya umuhimu sana kushinda otherwise tuwe njiani kuelekea Europa.
 
Screenshot_20211102-222048.png

Cha muhimu ushindi tu leo ni vyema tumeanza na kikosi solid ila Ole ndiyo anamaliza vipaji vya hawa wachezaji.
 
Hii game kwa mfumo alioenda nao Ole hakika ameenda kwa ajili ya kutafuta sare. Backline watano!

Huu ni uoga kabisa. Baily leo atawapa zawadi ya penalt hawa Atalanta. Sababu kubwa ni kutumia nguvu kuliko akili.
Niwatakie ushindi usiku huu.n
 
Leo tusitarajie kambaki, hawa jamaa wamekwisha tuzidi. Ole kajichanganya kwenye kikosi
 
Back
Top Bottom