Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

3-5-2...

United tumemtaka Conte,Ole akaona isiwe shida..amemcopy Conte fasta.

3-5-2 ina maana Sancho,Amad,Pellistri watafute la kufanya..kama ni kweli Ole atastick na hii fomesheni

Shaw na AWB je wanaweza kucheza kama Wing backs efficiently?.

========
De Gea

Lindelof Maguire Varane

AWB McFred Bruno Shaw

Ronaldo Cavani

=======
 
3-5-2...

United tumemtaka Conte,Ole akaona isiwe shida..amemcopy Conte fasta.

3-5-2 ina maana Sancho,Amad,Pellistri watafute la kufanya..kama ni kweli Ole atastick na hii fomesheni

Shaw na AWB je wanaweza kucheza kama Wing backs effeciently?.

========
De Gea

Lindelof Maguire Varane

AWB McFred Bruno Shaw

Ronaldo Cavani

=======
Diogo Dalot yupo na huu mfumo utamfaa sana..

Hata gemu na city tarajia tutatumia mfumo huu huu!
 
Patamu hapo labda aue mmoja hapo kati kati ya fred au tommy ndo pogba acheze ingawa sidhani kama atacheza mfumo huu kila mechi maana itamaanisha tunacheza bila no 7 wala 11 sasa ndugu sancho na Rashford kuwa wanatokea benchi kila mechi ni utata hawawezi kubali.
Yani tuanze biashara ya kutaka kuwaridhisha akina sancho na ford? Kama mfumo umekubali na matokeo yanaoneka watokeee benchi tu.

Kwani ford kaanza misimu mingapi?
 
3-5-2...

United tumemtaka Conte,Ole akaona isiwe shida..amemcopy Conte fasta.

3-5-2 ina maana Sancho,Amad,Pellistri watafute la kufanya..kama ni kweli Ole atastick na hii fomesheni

Shaw na AWB je wanaweza kucheza kama Wing backs effeciently?.

========
De Gea

Lindelof Maguire Varane

AWB McFred Bruno Shaw

Ronaldo Cavani

=======
Shida ni Ole ataendelea na huu mfumo? Na pia upande wa bissaka inabidi acheze beki mzuri wa kupandisha team.
 
Shida ni Ole ataendelea na huu mfumo? Na pia upande wa bissaka inabidi acheze beki mzuri wa kupandisha team.
Dalot yupo..mechi nyepesi nyepesi acheze hiyo right wing back..Though inabidi aimprove sana..mechi ile ya Westham ya EFL alicheza utopolo wa ajabu kabisa.

Ole kama anataka kupunguza pressure atumie huu mfumo..tunakuwa compact sana,kazi itabaki ni kwenye kucreate nafasi za Cavani na Ronaldo kuingia nyavuni...Though Spurs walikuwa hovyo na hatutakiwi kuwa carried away na matokeo ya jana kuhusu suala la Ole kushindwa kufanya hii timu iwe tishio.

Huyu Ole hafukuzwi tupo nae bado sana..yaani kama mchwawi.
 
Patamu hapo labda aue mmoja hapo kati kati ya fred au tommy ndo pogba acheze ingawa sidhani kama atacheza mfumo huu kila mechi maana itamaanisha tunacheza bila no 7 wala 11 sasa ndugu sancho na Rashford kuwa wanatokea benchi kila mechi ni utata hawawezi kubali.
Itategemea anayeanza ni nani, ss namba yako anaanza cr7 au Cavani utakataa au?
 
3-5-2...

United tumemtaka Conte,Ole akaona isiwe shida..amemcopy Conte fasta.

3-5-2 ina maana Sancho,Amad,Pellistri watafute la kufanya..kama ni kweli Ole atastick na hii fomesheni

Shaw na AWB je wanaweza kucheza kama Wing backs efficiently?.

========
De Gea

Lindelof Maguire Varane

AWB McFred Bruno Shaw

Ronaldo Cavani

=======
Tulimwambia akitaka matokeo aachane na 4 2 3 1.
 
Bruno anampenda sana
Ronaldo yani hata ikitokea Ronaldo kafungwa basi anavyoshangilia utafikiri kafungwa yeye, .

Sikuizi naona akifika box atahangaika kumtafuta Cr7 hata hata kama karibu yake kuna raia mwingine, napenda uzalendo wao.
Kumbe wanahujumu timu hao yaan wanashangilia wakifungwa
 
Itategemea anayeanza ni nani, ss namba yako anaanza cr7 au Cavani utakataa au?
Cavani na CR7 huu muunganiko una shughuli ya kibabe sana. Ole kama ni mjanja ni wakati wa kufanya special training kwa Shaw na Bissaka kupiga cross za utosi ili ku-levarage uwepo wa Cristiano na Ed ktk box kwa wakati mmoja wote hawa wanajua sana kufunga kwa mipira ya vichwa.
 
Cristiano na Edi wakikaa mbele yaani hata mabeki wa timu pinzani wanakosa raha.
 
Back
Top Bottom