D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
ameyataka mwenyewe, muda mwingi alitegemea miujiza ya bruno fernandez tokea alipomsajiliNimemuonea hadi huruma kwenye hiyo post match interview..nadhani anajua his time is up
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina wasiwasi wowote Ole anapindua hii meza. Watch this space
Nashangaa aiseeBado hajafukuzwa tu
Njoo hapa [emoji23]Draw au kuwin.Vijana wote ni wazima.
Bisaka unamwonea aksee. Leo ndio kacheza vizuri kuliko mchezaji yeyote wa united.Kuna wanachezaji hawastahili kucheza United
Wan bisssaka
Magwaya
Lindelof
Mctominay
Rashford
Shaw
Fred
Hawa wote hawana hadhi ya kucheza United trust me sio kocha tu mtakuwa mnamwonea hao wachezaje ni averega players kabisa wanastahili kucheza norwish city au stoke city
Hii ni kweli wazee au photoshop
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti ka bus uchwaraLiverpool wametuheshimu sana baada ya kutupiga mkono walikuwa wanauwezo wa kutuchomoa kwenye kale ka bus uchwara tulikoweka na kutuchapa hata 8 baada ya pogba kupewa umeme kifupi hamna kocha hapa
Kadi ya pogba siwezi kumlaumu kocha bado anabeba lawama kwa ile sub ya kipuuzi ushaliwa nne kipind cha kwanza unataka nn kwa mtu alikuzidi kila kitu?
Mm ningetia bailly na dalot tu