Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Hujuii hata unacheza Lin...Tumerudi kwenye form kesho tunampelekea liverpool moto
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sasa wewe ni shabiki au kiaziii
Hujuii hata unacheza Lin...Tumerudi kwenye form kesho tunampelekea liverpool moto
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
structurally Mc tominay is the only effective mid within ole's system, mchezaji unaweza kuwa WC ila huwezi kucomplete your roles kama Pogba at united.
Mbna walikaa bench mechi ya everton na baada ya hapo wakasema you need to start your best players
Yaan hapo hao wapumbavu wanajiita legends wafe tu na mwenzao sendeka

Tunaweza shinda against liverfool na city kwa kutumia ile small team's mentality against big teams lakini si kwa uwezo wa kocha tuliye naeBundi anaendelea kulia msibani
Liverpool walimwondoa Mourinho mwaka 2018 mwezi wa 12 baada ya kumchabanga goli 3-1, je watamfukuzisha kazi mmasai Ole?Tusubiri game ya jpiliView attachment 1983382
Bruno Fernades hata Sporting alikuwa hivyo hivyo.Bruno wkt anakuja hakuwa na tatizo hili, wengi tulimuona ni master wa passes za macho lkn baada ya kuadapt mbinu za kocha bora duniani ndo amekuwa hivi.
Ole anatoa suluhu hapo....Liverpool walimwondoa Mourinho mwaka 2018 mwezi wa 12 baada ya kumchabanga goli 3-1, je watamfukuzisha kazi mmasai Ole?
Wewe unaongelea sporting mm naongelea man u, kipindi anasajiliwa tulisema ni master wa passes na tuliona, but leo amekuwa anapoteza mipira why? Alafu unasema kama angekuwa hatengenezi nafasi, yn ange, so hyo haiwezekani mkuu ni sentensi ambayo haipo.Bruno Fernades hata Sporting alikuwa hivyo hivyo.
Rejea scouting report za dirisha kubwa la usajili zilionyesha Bruno anapoteza sana mipira.
Ukiangalia uchambuzi wa Daemusin kwa kutumia rejea mbalimbali amekuwa akiluzungumza mara kwa mara.
Kama Bruno asingekuwa na uwezo mkubwa wa kufunga na kutengeneza nafasi probably angekuwa the worst signing kikosini.
Sancho kawa fraud aisee kupitia huyu dogo sancho ndiyo unajua kwamba hatuna kochaNimeishia kusoma ulivyitaja neno Declan Rice. Mlileta story za Sancho. Leo tena Declan Rice.
Mimi nadhani pogba ndiye anayepoteza mipira sanaBruno Fernades hata Sporting alikuwa hivyo hivyo.
Rejea scouting report za dirisha kubwa la usajili zilionyesha Bruno anapoteza sana mipira.
Ukiangalia uchambuzi wa Daemusin kwa kutumia rejea mbalimbali amekuwa akiluzungumza mara kwa mara.
Kama Bruno asingekuwa na uwezo mkubwa wa kufunga na kutengeneza nafasi probably angekuwa the worst signing kikosini.
Bruno wkt anakuja hakuwa na tatizo hili, wengi tulimuona ni master wa passes za macho lkn baada ya kuadapt mbinu za kocha bora duniani ndo amekuwa hivi.

et kocha bora dunianiDuuuh aisee....Kesho
Man Utd 2 Liverpool 1
Kati ya hawa, watafunga magoli
Rashford
Ronaldo
Fred

sawa...uzur ni kwamba kila mtu ana uhuru wa KUOTA NDOTO