Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba anapocheza na matic team huwa haina balance kabisa. Wote wapo slow na wanakabia nafasi zaidi hvyo kukaribisha opponents zaidi.

Watu wanamponda Mc tominay ila kimfumo jamaa ana accomodate midfield vizuri kuliko wote kina fred na matic.

Halafu tactically ole yupo chini sana huwa nashangaa watu wanao mtetea jamaa ni kama hana gameplan huwa anawaambia team tu wacheze matokeo yatakuja.

All in all ole bado hajaweza kupata output nzuri out of his team and curent formation anayotumia bado hutegemea individual perfomance zaidi.
 
Hapo kwa Mictomin hauko sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pogba anapocheza na matic team huwa haina balance kabisa. Wote wapo slow na wanakabia nafasi zaidi hvyo kukaribisha opponents zaidi.

Watu wanamponda Mc tominay ila kimfumo jamaa ana accomodate midfield vizuri kuliko wote kina fred na matic.

Halafu tactically ole yupo chini sana huwa nashangaa watu wanao mtetea jamaa ni kama hana gameplan huwa anawaambia team tu wacheze matokeo yatakuja.

All in all ole bado hajaweza kupata output nzuri out of his team and curent formation anayotumia bado hutegemea individual perfomance zaidi.
Fred ndo mtu mwenye uwezo zaidi as of now kwenye midfield yetu kwenye eneo la chini..na anacheza eneo lisilo lake..Fred alikuwa CM anayecheza juu kidogo.

Yuko sharp na anakaba kweli kushinda McTominay..

Tatizo lake kubwa kuna muda anapoteza battles au analeta errors ambazo zinaleta hatari.

Ole kibarua chake kikiwa hatarini hawezi kumuacha Fred nje..ndo mtu wa kwanza kuingia kwenye lineup yake i think.
 
Talks are ongoing between Manchester United and representatives of Bruno Fernandes regarding a new contract and there is confidence that an agreement will be reached.

manutd |
#GGMU
IMG_20211023_123730_308.jpg
 
Bruno Fernades hata Sporting alikuwa hivyo hivyo.

Rejea scouting report za dirisha kubwa la usajili zilionyesha Bruno anapoteza sana mipira.

Ukiangalia uchambuzi wa Daemusin kwa kutumia rejea mbalimbali amekuwa akiluzungumza mara kwa mara.

Kama Bruno asingekuwa na uwezo mkubwa wa kufunga na kutengeneza nafasi probably angekuwa the worst signing kikosini.
bruno fernandez na kevin de bruyne wanalingana sana kitakwimu kwenye kipengele cha kupiga pasi sahihi (accuracy pass), tunayaona sana makosa ya bruno labda ni kwa sababu timu yetu haina utamaduni wa kumiliki mpira na hili ni tatizo la wachezaji walio wengi kikosini mwetu na hata kocha wetu ameonyesha kuridhisha na hii hali yetu (tujaribu kufuatilia mahojiano yake pindi anapomzungumzia bruno fernandez).

tofauti na kevin de bruyne pindi anapopoteza mipira huonekana ni jambo la kawaida labda ni kwa sababu ya mfumo wa uchezaji wa timu yao wa kuretain possession na position.

pia kukosa kwetu muendelezo bora wa matokeo ndani ya uwanja pamoja na ufinyu wa kushinda makombe inaweza kuwa sababu nyengine inayofanya jamii ya wapenda soka wasimpe heshima anayostahili bruno fernandez ukilinganisha na midfield wengineo

nje ya hapo ujio wa bruno fernandez ndani ya ligi kuu umekuja kuleta ushindani kwa kevin de bruyne maeneo mengineo muhimu anayopaswa kujivunia midfield wa kileo mfano utengenezaji wa nafasi za magoli, nafasi zilizofungwa na magoli binafsi ya kufunga.
 
jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa nemanja vidic (ametimiza miaka 40), cha ajabu siku yake ya kuzaliwa imesongeshwa zaidi na mjadala unaomlinganisha dhidi ya virgil van dijk kwenye mitandao ya jamii si ajabu mpaka muda huu neno vidic limeendelea kutrends kwenye mtandao wa twitter.

Hii mitandao ya kijamii licha ya kutuunganisha kwetu pia imezalisha uraibu wa kubishana mambo yasiopaswa kuwekewa ubishani, yaani mchezaji aliyecheza vizuri kwa msimu mmoja analinganishwa na.....................licha ya hivyo huo msimu wake mmoja unaotumiwa kama reference aliocheza vizuri bado kitakwimu ameachwa kwa mbali sana na msimu mmoja tu bora wa mchezaji anayelinganishwa naye.
FCWcrDzWUAQoFWS.jpg

kuna siku nilitembea page ya shaffih dauda nikakutana na huu upumbavu, wakati huko alikocopy muandishi wa hii makala alishaandika takwimu za patrick vieira hazina usahihi kwa sababu opta haikuwepo mwaka 2003, alivyokuwa mjinga naye akaanzisha mjadala bila ya kuweka indhari hiyo.
watoto wa dotcom wakaanza kumnajisi patrick vieira, eti vieira amefanya tackles 50 (labda vieira alikuwa na mguu mmoja)
E_byam0WUAk6UtR
 
Wewe unaongelea sporting mm naongelea man u, kipindi anasajiliwa tulisema ni master wa passes na tuliona, but leo amekuwa anapoteza mipira why? Alafu unasema kama angekuwa hatengenezi nafasi, yn ange, so hyo haiwezekani mkuu ni sentensi ambayo haipo.
Mkuu kuretain possession na passing accuracy ni vitu viwili tofauti kabisa hata hivyo passing accuracy ya Bruno anazidiwa huwa inarange kwenye 67-75 hajawahi kuwa above hapo maana yake anazidiwa na wachezaji wengi sana kikosini kwa passing accuracy.

Kinachombeba Bruno ni workrate, chances creation na conversion rate.

Vingine vyote Bruno ni mchezaji average kuliko hata Thomas Suchek wa Westham.
 
Limeisha hilo ila hizo points 3 mtazilipa zamu yenu ikifika, hamuwezi kupiga gape kupitia migongo ya wanaume kenge nyie.
Hahahaha angalia mtu anaoga bao ngapi huko ..sisi Chelsea timu mzima kasoro kipa tu ndio atupii goli. Ivyo nyie kesho kuleni zile kuku halafu mjipnge na mvua ya magoli.
 
Back
Top Bottom