Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,851
😂😂😂Draw au kuwin.Vijana wote ni wazima.
😂😂😂Draw au kuwin.Vijana wote ni wazima.
Solskjær [on Van de Beek throwing his chewing gum during the previous UCL game]: "It is wiser to throw away your gum and not swallow it, we learned that as children. And giving your chewing gum to someone else is not possible in these corona times either." [RTL7 via @VI_nl]
WhyOle analimited tactical ceiling ila haimfanyi kuwa kocha mbaya, Mistake aliyoifanya ni kucreate squad imbalance, thats Why mechi ya jana pogba was dropped, hata mechi ya liverpool ni fred na Mc tominay ndio wanaprobability kubwa ya kuanza, it is impossible to win the league with pogba and Ronaldo starting, im sure united will not extend pogba contract
Huyo uliyemtaja hapo ni mchezaji mpya?Ile assist ya Ferdinandes goli la kwanza ndio naichukulia Mkopo hapa SACCOS Magomeni![]()
Huyo uliyemtaja hapo ni mchezaji mpya?
Cha ajabu pale ureno anaanzia benchiKama kuna mtu wa mpira atamponda Bruno huyo ataongozwa na chuki ila kajamaa kwenye kutengeneza nafasi za kufunga yupo mbali sana tena sana ana takwimu za hatari sana ni vile hii timu haibebi makombe na kutokuwa na kiwango komavu vinginevyo ule ni msala.
They are not good enough off the ball
Bruno inabidi awe anadrop chini kulink na kina McFred..Second half jana alifanya hivyo na balance ilipatikana.
Kwa kocha mwenye akili hiki kikosi kingepiga mpira mkubwa sana..
Nimeishia kusoma ulivyitaja neno Declan Rice. Mlileta story za Sancho. Leo tena Declan Rice.Kwenye makaratasi united ni kama mshapoteza against Liverpool, Chelsea, Man city. Hizi ni timu ambazo they are well coached, with high tactical minds.
Ole alichelewa kupata his priority , a top CM (Declan rice) kitu ambacho kinawaondoa kwenye title contention ingawaje mnaQuality all over the pitch.
Last season, Cavani up front timu ilibalance isipokuwa RW, mkamaliza second place, ujio wa Ronaldo unaharibu balance ya timu. Timu inakosa a top CM.
Midfield kwa sasa inahitaji Mc tominay na Fred waweFit the whole season, kitu ambacho ni impossible.
Fred has got his own flaws kama imposition ,lack of technical security. Mc tominay is superb
Pogba + Ronaldo on the pitch inawanyima intensity, too easy to keep the ball against like Leicester did
Pogba + Matic/VDB hamna kitu. Pogba cant play his game with Matic in pivot.
Hiyo ni kwa 4-2-3-1 shape anayoenda nayo sasa bwana Ole na 4-4-2 structure kwenye High press which is good. km atalazimika baadae kabla hajafukuzwa aende na back 3 ...Maguire,Varane, AWB may be he can get the best out of this group. Mtazamo tu.
Kwani kurlzawa anasemajeKama kuna mtu wa mpira atamponda Bruno huyo ataongozwa na chuki ila kajamaa kwenye kutengeneza nafasi za kufunga yupo mbali sana tena sana ana takwimu za hatari sana ni vile hii timu haibebi makombe na kutokuwa na kiwango komavu vinginevyo ule ni msala.





Ni kawaida mkuu, kuna wachezaji wakiwa kwenye klabu ni tofauti na National team mfano Bruno.Cha ajabu pale ureno anaanzia benchi
Kama ilishabeba shida ipo wapi? Manchester city hawakukata tamaa miaka 80 wanazama wanaibuka hadi mwarabu kaokoa jahazi kwa mbindeeeeHii timu itaenda miaka 20 bila kikombe ......
Ni swala la muda tu
Nakubali sana mkuuThe BLUES tungekuwa na Mchezaji aina ya Bruno, wale jamaa zetu kule mbele wangefunga magoli mengi.
Kwa lile goli la viwete? Kaka alifunga goli ambalo sitokaa kurudia kuangalia marudio yake Gabriel Heinze na Evra hawatasahau sio lile la daka halina ufundiPatson Daka,huyu mnyama ni hatari sana Man U hawamtamani kabisa