Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_20211020-103656_Instagram.jpg

Tumpe mpe muda.
 
Guys, leo nafanya maamuzi magumu, siko interested na ushindi, nataka nione timu inacheza kitimu + nione value of money kutokana na uwekezaji uliofanywa na club katika kutengeneza kikosi.

Ieo kama man utd wataendelea na uonyeshaji wa kiwango kibovu cha mpira kama ambavyo wamefanya katika mechi karibia zote ukitoa mechi ya kwanza ya EPL msimu huu, leo leo nitafanya maamuzi binafsi.

sishabikii mpira helplessly, yaani sijakaa tu hapa kusubiri timu icheze au iendeshwe tofauti na ninavyotegemea. Nimekua nikijua na kufikia kuamini kwamba Man Utd ni timu inayoendeshwa kwa weledi mkubwa kuliko timu yoyote duniani, wakati wote nimekua nakubaliana na kufurahia maamuzi ya timu ndani na nje ya uwanja kwa sababu mara nyingi yamekuwa namna ile ningefanya kama mimi ndio ningekua muhusika wa kimaamuzi.

lakini kwa direction ambayo nasoma kwenye vyombo vya habari management imeamua kuendelea nayo na kiwango cha mpira hasa kwa wachezaji hawa waliopo, nasikitika kujikuta kwamba sikubaliani na mambo mengi sana yanayoendelea katika timu.

hivyo, ili nisijiumize roho yangu, leo ama wakati mechi inaendelea au baada ya mechi kuisha ntaamia newcastle united kwa muda.
 
Plastic
 
Sina cha kufanya acha niangalie tu game tutegemee mpira mzuri kwa kikao cha nusu saa kile itakua kawapa mbinu ya kucheza vizuri.
 
Kwahiyo kurudi kwa Rashford ndo mwanzo wa Labile kula benchi sio
Ole ni fala, alililia natural RW kapewa anakula bench, akamtaka VDB kapewa, ni heri hiyo hela ange-spend kwa DM. Kwasababu hana DM hana budi kutumia double pivot ku-accommodate mfumo wake wa kifala.
 
Back
Top Bottom