Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wadau bado league mbichi... Ole tumpe muda.. tunaiman na Ole.. hata Liverpool hii Klopp ilimchukua muda kushinda makombe
 
Goli la townsend tumefungwa magoli kama gaya mengi sana toka msimu uliopita....

Ni aina ya magoli ambayo yanatokana na poor setup ya mabeki...yani mabeki 5 (kiungo mkabaji akiwepo) wanajirundika upande mmoja na kuacha njia kubwa upande mwingine tena karibu tu na 18

Hata wale waturuki wa demba Ba walitufunga goli namna ile beki zipo upande wa pili mchezaji wa timu pinzani anakutana uso kwa uso na de gea.

Sijui baada ya msimu kuisha, staff yetu huwa inafanya kazi gani..nahisi huwa wanawaza usajili tu.....

maana tatizo kama hili, Staff nzima wangejaribu kulitafutia tiba wakati wa mapumziko yao ingeleta tija....

set up yetu tukiwa na mpira, tukipoteza mpira, tukifanyiwa counter attack, na tufanyiwa pressing ni moj ya set up ya ovyo sana na inamatobi mengi sana.....

Hatuwezi kuchukua kombe lolote kwa aina hii ya matatizo yetu.

Je ole afukuzwe au abaki? hilo watajuana wenyewe.
 
Mpeni muda Ole Sendeka kuweni wavumilivu

79c53111-e86e-40ac-9f66-52a593a5d0cf.jpg
 
Ole abaki Mzee...NI mtu sahihi pale unyumbuni
 
Back
Top Bottom