kweli tusiyempenda.Inakuwaje gray anafanya anavyotaka pale katikati ilihali tuna double pivot![]()
Leo anapeleka mipira mbele Tu
Huyu jamaa bhana









Leo kawa mcharo Hahaha huo ndio ubinadamu fanya moja zuri mabaya yako 10000 yote tunayasahau martial fungal mzeee uwafunge midomo waguHuyu jamaa bhana![]()
Hapa umesema vema mkuuKumuweka Cavani sehemu ya Ronaldo mimi naona ni kama vile hujabadilisha kitu. Wote wana uwezo mzuri wa kufunga wanapopata nafasi tena kwa umri wao wa sasa hivi Cavani ana-offer vitu vingi kule mbele hasa ile mikimbio yake.
Moja MojaNgapi huko?