Wanangu Mpira mna uchukuliaje hasa mpira huu wa mashindano ya ulaya ? Ivi mnafatilia haya mashindano kweli kuanzia games hadi matokeo?
hawa vila real huko spain unajua wakoje ....
Yani timu imepata matokeo tena kwa sub za kocha lakini bado mnalaumu,, asinge fanya sub mngelaumu ,angetoa sare mngelaumua ,angEfungwa Mngelaumu kashinda pia mNaLaumu?
Fan wa united kuna mda mnazingua knowledge ya mpira ndogO sana miongoni mwenU
WEng Wenu mnadhan Football ni kama mazingaombwe ...


Huyo kocha wao anajua kuwapoza Sana...game inayokuja ya ligi atashinda tena ...We Jamaa ebu taratibu basi, yani unataka afukuzwe ili sisi Mashabiki kindakindaki tupoteze furaha tukiwa tunakuja kujichotea tu point 3 Old Trafford kwa kuwaajiri makocha wataalamu kama Zizou na Conte ili muwe vizuri kiushindani
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app


Kwamba Cavani atokee pembeni?My Starting XI vs Everton ::Lunch time Jumamosi. 14:30Eat
======
De Gea
AWB Varane Lindelof
Fred Fernendes Tominay Telles
Cavani Ronaldo Lingard
========
Wanakuwa wanadrift tu hapo..pembeni katikati katikati pembeni.Kwamba Cavani atokee pembeni?















Sikia hii ng'ombe yenye ubingwa sawa na SunderlandNimekuja kugundua kuwa mashabiki wa man utd ni vilaza ,empty headed kabisa ...!
Wanachoangalia ni matokeo ya siku moja ,sio project ya timu ,
Mnasafari kubwa Sana nyie kenge walahi![]()
Villarreal mlikutana jana au mlipoteana bila kuonana wakuu wa Villarreal nauliza kwa wema tuuu jamaniiiWale wa Villarreal tujuane mapema kabisa.
Mkuu matatizo ya uwanjani ya klabu yetu pendwa hayajawahi kuisha.Tuliomba wing ya kulia na ndiyo ulikuwa wimbo wetu huo, cha kushangaza hiyo wing ya kulia imekuja na haichezi wing ya kulia, hilo pekee linatosha kugundua ubabaishaji wa kocha.
Achana nae ndezi huyo
Subiri rash arudi mkuu,Tuliomba wing ya kulia na ndiyo ulikuwa wimbo wetu huo, cha kushangaza hiyo wing ya kulia imekuja na haichezi wing ya kulia, hilo pekee linatosha kugundua ubabaishaji wa kocha.