Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ma.mae walai..ilikuwa tayari ni draw hii..na tumekoswa mara kibao..

Ole Ole unatuzingua.
Wanangu Mpira mna uchukuliaje hasa mpira huu wa mashindano ya ulaya ? Ivi mnafatilia haya mashindano kweli kuanzia games hadi matokeo?

hawa vila real huko spain unajua wakoje ....

Yani timu imepata matokeo tena kwa sub za kocha lakini bado mnalaumu,, asinge fanya sub mngelaumu ,angetoa sare mngelaumua ,angEfungwa Mngelaumu kashinda pia mNaLaumu?

Fan wa united kuna mda mnazingua knowledge ya mpira ndogO sana miongoni mwenU

WEng Wenu mnadhan Football ni kama mazingaombwe ...
 
1st goal. Alex telles
CgAGVWFUyneAE-uxAHBzNxpGEdE435.gif
 
Bwana Sendeka kawapoza kidogo,zile Ole Out zimepungua...Ni mwendo wa kung'ata na kupuliza.
Ole mi5 tena nampenda sana Ole, yani mechi 1 Man Utd ishinde, mechi ya pili isuluhu, mechi ya 3 ifungwe


Hii inaitwa "kung'ata na kupuliza kama panya buku waaaa"

Baada ya msimu kuisha hakuna kombe lolote lile kabatini

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Mashabiki uchwara wazee wa mihemko washaanza kumuona ole kama mungu, kisa mn city imefungwa na psg tuliowahi kuwafunga na pia Chelsea imefungwa na juve tuliowahi kuwafunga (acheni mihemko)

Overall, ni kwamba ole kimbinu ni zero brain, suala la kushinda mechi moja moja halitatufikisha popote tutaishia kuwa washindani wa top four na kujipa matumaini mapya kila msimu

Timu imesajili
Timu ina pesa
Timu ina fan base kubwa sana

Leo unakurupuka kuja kuniambia kuwa mpira sio mazingaombwe et niridhike na ushindi wa mechi moja moja tena kwa performance mbovu namna ile?

Tunahitaji makombe
Tunahitaji makombe
Tunahitaji makombe

Bila consistency ni kazi bure
Ole hatatufikisha popote
 
Kuna ile mijinga ya Chelsea huioni humu saiz ishakalia uko
Tupo hiyo mijinga ya Chelsea ambayo ndiyo Vidume bora wa Ulaya mwaka huu kwa kubeba UEFA CHAMPIONS LEAGUE & UEFA SUPER CUP

Tumepigwa na Juve na hatuna wasiwasi maana UK ni Chelsea pekee ambayo haisiti kufanya maamuzi magumu wakati wowote

Yani timu ipo vizuri na tuna Kocha master class tactically TT, sasa endelea kuomba tufungwe mechi 3 mfululizo kama hutasikia tunampatia TT mechi 5 za mwisho na akifeli 3 kati ya hizo tayari ni kumtumua na kuajiri Kocha mwingine Zizou au Conte ambao kiutaalamu huitaji elimu ya chekechea kuwajua kuliko huyo Mmasai wenu Ole Sendeka

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom