Hii team bwana, tukiongea tunaonekana plastic fans.Haya game ya pili hii tunapigwa OT, tuendelee kuvumilia OLE ana kitu cha ziada.Bado tuna tabu,tunacheza counter attack football tena OT
Anatakiwa afukuzwe leo sio October mkuu ni mbali.Bruno amekosa penalty makusudi wakuu, ile distance kwa mbutuo huo sio kweli......Ole october mwisho kuwa kocha wa man u
Ronald vipKalilia no 7 kapewa anamuweka benchi [emoji3][emoji3] ukweli ole hajui kutumia wachezaji wengi alionao kuanzia middle almost wote wanacheza nje ya positions zao.
Comment ina mantiki hii.....Japo BF kukosa penalt imeniuma zaidi ya kupoteza gameBruno amekosa penalty makusudi wakuu, ile distance kwa mbutuo huo sio kweli......Ole october mwisho kuwa kocha wa man u