Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii team yangu kutengeneza mashambulizi ya nguvu haiwezi kabisa... OGS hata kusoma tu mchezo unaendaje, afanye nini, atoe nani, abadili nini ili timu ipate matokeo shida... Yeye akishapanga first eleven ndio basi daaah... Hii team itakuja kuniua hii kmmke...
Hama haraka sana kaka, ugali sato wa kubanikwa na mlenda ulivyo mtamu vile unaanzaje kufa kizembe hivyo nakati Mwantesa Utd si kabila
 
Evra ndio legend pekee aliyefungua mdomo juu ya uwezo mdogo wa Ole last season... Nasubiri kina Neville, Kean, na Scholes wataongea nini kuanzia sasa.

Kiufupi, Ole Sabaya uwezo umeishia hapa. Afurushwe kesho asubuhi kabla sijaenda jogging
Hawa wote wapumbavu..watabaki kusema United inabidi imsajili Declan Rice ili imfunge Aston Villa.

United ina kikosi bora kabisa ulaya,kocha anashindwa kufundisha mpira..wachezaji wanajichezea tu.
 
Shaw was poor..bora ametoka

Bissaka+Fred trash as usual.

Maguire...Shamble again..kila mechi lazima atoe blunder..captain gani huyu?

Anyway..we better win the 2nd half.
Weweeee...! Yani umejikalia tu hapo kama kiporo cha ugali unaanza kutukandia beki letu na Kapteni la dunia "Magure" ?
 
️ haijatua
IMG_20210925_174432.jpg
 
Ole alishasema yeye haongopi kufukuzwa...na wachezaji 100% hawamtaki kocha...na ronaldo ni kiongozi wa hlo wana ajenda ya siri kam ilivokuw chelsea enzi za kina Terry, hazard n.k na ole lzm atoke amini amini nakwambia....Greenwood wa moto sn hawez fanya haya, uchoyo wote ni sehemu ya ajenda yao.
Kumbe ni wapumbavu hao wachezaji wenu
 
Kwahiyo unashauri nani awe mbadala wa Ole?
Kuna haja ya kuniuliza hili swali kweli? Jombaa, kuna makocha kibao mkurugenzi wa ufundi akinyanyua simu yake kesho asubuhi watakuwa wamewasili uwanja wa ndege wa Manchester tayari kwa kuanza kazi.

Hawa ni baadhi yao;
  • Antonio Conte
  • Eric Ten Hag
  • Zinedine Zidane
 
Back
Top Bottom