Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Ronaldo hajabadili ubao huko? 😃😃😂😂Jamani pale man utd kusema kweli kabisa hatuna kitu pale tusidanganyane wadau Yani pale ni matope tu yamejaa,timu gani inasubiri maajabu na bahati ndo ishinde, Yani ni bure kabisa ni huo upenzi tu wa hii timu la sivyo Mambo yangekua tofauti kabisa...MAVI MATUPU.