Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi unajua tuchel alipigwa kadi nyekundu akafa 5-2 kwa Westbroom?

Matokeo unayopata baada ya kupigwa red yanategemea sana mpinzani wako anacheza vipi, na mbinu za kocha wenu kumkabili. Ole hakuwa na mbinu yoyote ya kuwakabili young boys baada ya ile kadi nyekundu.
Lakini pia kocha wa young boys alikuwa na mbinu ya kucheza na watu waliopungufu. + Lingard blunder
Muda huo anapigwa 5-2 alikuwa ana muda gani na timu ya Chelsea, yani akisajiliwa kuwa Kocha Mkuu wa Chelsea FC?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Atkinson continues to be the worst ref in the prem,penalt mbili za wazi kabisa tumenyimwa,and where the fu.ck was VAR?.
Nilimsikia Richard Keys (commentator) jana akisema Martin Atkinson doesn't like his decisions questioned.

Refa aliyekaa ktk VAR anaitwa Lee Betts, ni kijana kwake. Haikuwa rahisi kumsikiliza alimwita baada ya ile tackle ya Kurt Zouma ila akaleta ego za kifala.

Kama CR7 ali-dive kwa nini hakutoa kadi? Hapo ndio utaona kuna virefa vibozo bozo vina ajenda binafsi za siri.
 
Tutaelewana tu mwisho wa msimu, baada ya kutumiza miaka tisa bila kombe.Tunakoelekea tutakuja kuwa team yenye kuleta tu chamgamoto kwenye ligi kama zilivyo Tottenham, Arsenal, Leicester, Westham na Aston Villa.Bado kidogo tu tutatimiza miaka 15 then 20.

Plastic fan? Ni nani mjinga atakaeweza kumvumilia Ole, akiwa na kikosi kama hiki? Acha tulalamike bwana miaka tisa sio kidogo.

Nafasi za kuchukua makombe zanakuwepo ila mara zote uwezo mdogo ndo umekuwa ukintupa nje, muangalie kwenye mashindano makubwa anavyopotezwa na zingine anafika mpaka fainali ila ndohivyo anazudiwa tactics.
Inamaana siku hizi Mashabiki wa Man United ndiyo wameambukizwa uvumilivu wa Kocha hata akiwa mbovu kama Mashabiki wa Arse8

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Nilimsikia Richard Keys (commentator) jana akisema Martin Atkinson doesn't like his decisions questioned.

Refa aliyekaa ktk VAR anaitwa Lee Betts, ni kijana kwake. Haikuwa rahisi kumsikiliza alimwita baada ya ile tackle ya Kurt Zouma ila akaleta ego za kifala.

Kama CR7 ali-dive kwa nini hakutoa kadi? Hapo ndio utaona kuna virefa vibozo bozo vina ajenda binafsi za siri.
Martin ni mpumbavu kweli..the worst ref in the league indeed.
 
Mzee mmepigwa na kutapeliwa haswa mcheki anachoka Sana,, mcheki second half anavyotoa ulimi nje,,that why goli mostly anazibahatisha first half ..ni geresha lile we subiri mpaka mwisho was msimu atakanyo data na epl , epl sio ligi ya wazee ile
Kwamba ndo unamjua cr7 au sio
 
Jana ronaldo anajitekenya na kucheka huku akitaka penalty nyepesi

Epl walishatoa waraka kuwa hakuna faulo nyepesi watakazo kubali na kutoa penalty,...

Ndio maana ile foul ya Walker vs saton ilifutwa ,...

Epl ni kwa ajili ya wanaume wapambanaji sio mabingwa wa kudive kudadekiiiii

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii komenti ni ya kikuda sana huyo ambaye unamuona si mwanaume mpambanaji alianza kukipiga EPL kipindi ambacho Man City ilikuwa ni timu ya kifara na kabla ya pesa za mafuta.
 
Inamaana siku hizi Mashabiki wa Man United ndiyo wameambukizwa uvumilivu wa Kocha hata akiwa mbovu kama Mashabiki wa Arse8

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Kuna baadhi ya wapumbavu, kwao Ili uwe shabiki mzuri wa team fulani hautakiwi kufanya critisism hata kama team haiko vizuri, yani inatakiwa usifie tu.

Wao wanataka tusifie tu, uliongea kidogo unaitwa plastic fan.Hivi kwa mtu mwenye akili anaweza kukaa kimya kwa hii United inayoelekea kuwa team ya kawaida kama Tottenham na Arsenal kwamba iwe ya kutoa tu chamgamoto ila ubingwa hakuna.Huu sasahivi ni mwaka wa nane tunaelekea wa tisa bila kombe ila ukongea unaoneka eti plastic fan.

Ole sio kocha yule tukubaliane tu, kikosi ni Mkoko lakini hatutaamini mwisho a msimu tunatoka bila hata kombe kama uliopita.
 
Tuombe tu uzima maana muda huwa ni rafiki mzuri kutoa jibu sahihi.

Sijui kwanini bodi ya Man Utd imekuwa na uvumilivu kwa Ole kwa zaidi ya miaka mi4 bila kombe lolote ilihali makocha kama MOURINHO iliwatimua kwa muda mfupi tu japo ilipata kombe la Uropa na kuingia top 4 kwa kuwa nafasi ya pili.

Wakati mwingine kukariri kila Ligend anatakiwa awe Kocha mzuri ni mateso yasiyovumilika.

Ndiyomaana Chelsea ilimvumilia Lampard lakini alipochemka ilimtimua na kupata kombe la UEFA.

Ni wapuuzi tu ndo wanaoweza kusupport huu utumbo wa kocha tulie nae.
 
No more words am finish
255711653357_status_e274f405a2de471796e5f2939070b618.jpg
 
Kuna baadhi ya wapumbavu, kwao Ili uwe shabiki mzuri wa team fulani hautakiwi kufanya critisism hata kama team haiko vizuri, yani inatakiwa usifie tu.

Wao wanataka tusifie tu, uliongea kidogo unaitwa plastic fan.Hivi kwa mtu mwenye akili anaweza kukaa kimya kwa hii United inayoelekea kuwa team ya kawaida kama Tottenham na Arsenal kwamba iwe ya kutoa tu chamgamoto ila ubingwa hakuna.Huu sasahivi ni mwaka wa nane tunaelekea wa tisa bila kombe ila ukongea unaoneka eti plastic fan.

Ole sio kocha yule tukubaliane tu, kikosi ni Mkoko lakini hatutaamini mwisho a msimu tunatoka bila hata kombe kama uliopita.
Unapata wapi ujasiri wa kuita mashabiki wenzako wapumbavu.?
 
Hii komenti ni ya kikuda sana huyo ambaye unamuona si mwanaume mpambanaji alianza kukipiga EPL kipindi ambacho Man City ilikuwa ni timu ya kifara na kabla ya pesa za mafuta.
Narudia tena Kama ronaldo hawezi kufunga ,Basi akae bench sio kuaanza kujigongesha kwenye miguu ya wanaume kutaka penalty...!

Hakuna penalty nyepesi itakayotolewa huu msimu

Back
Top Bottom