Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kumbuka pia kikosi alicho Pokea TT kutoka kwa Lampard na maingizo yake Alaf rudi kwa kikosi alicho pewa Ole kutoka kwa Mourinhol kikosi cha martia tozi hana mpimzani kwenye namba yake

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Hiyo sio sababu mkuu! Kwani hakupewa hela ya usajili!?. Alitaka winga wa upande wa kulia. Kuna mechi majuzi akampanga kushoto.
 
Kwamba ole hakuna game alio kua down au level first half akaja kufanya sub na kuchange formation second half akapata matokeo ?

Ama unataka nikuhesabie ?

Ya kwanza ni hii ya leo vs Westham

Watu wakiamua kukusifia wameamua tuu! ila pale EPL hakuna kocha mwenye comeback nyingi kumzidi Ole ..
Pia hakuna Sub zenye Goal involvement pale EPL zaidi ya za Ole ...

Twende na takwimu chungulia picha hapo chini

Kuhusu game changing second half na comeback sina haja ya kukuletea takwimu manaa kama unafatiliaga mechi basi unalijua hilo..

Huyu Tuchel mnae msifia aliishindwa PSG yenye Potentila kuliko United ya Ole na walikutana aka M'outclass akiwa na kina Chong na Perreira unakumbuka????
Au umekatwa kichwa ??View attachment 1945446

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Mech nyingi sana tumefungwa kipind cha kwanza cha pili tumeshinda
Kitu ambacho kinatutesa sasa ni kiungo mkabaji ukiangalia timu inapata wakat mgumu eneo hilo fred anapoteza sana mipira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sio sababu mkuu! Kwani hakupewa hela ya usajili!?. Alitaka winga wa upande wa kulia. Kuna mechi majuzi akampanga kushoto.
Si mtetei ole kwamba kocha mzur hapana kuna muda timu unayocheza nayo wanakamia gemu kuna wachezaj wanajiweka sokoni ili watoke wale young boys hata kumfunga fc basel ni mtihan au fc zurich huwa mbinde angalia walivyopandisha viwango tulipokutana nao yule Elia alikuwa wa moto anataka kutoka uje kwenye timu ya Moyes unafikir
Declan Rice,Soucek na Bowen wanapenda kubak west ham? Mech huwa sio rahisi hasa top team zinapokutana na underdog

Upo sahihi mkuu! Ila nilikuwa najaribu kujibu hoja ya mwanaspotiapp kuwa TT timu aliyoikuta na sijui ingizo alizoziingiza, akijaribu kulinganisha na Ole. Naamini wewe mwenyewe shuhuda, wakati tunatarajia kupunguza wachezaji mzigo, mara tukaona Phil Jones ameongezewa mkataba.
 
Timu yetu ilivurugika sana tena sana kupata timu yenye uwiano sahihi ilikuwa kazi sana labda tungepata kocha kama klopp au pep wazoefu tungeweza kurudi haraka sosha hakuwa na ujuzi saana ila kajitahidi kumuongeza phil jones mkataba ni mipango tu mkuu kutimua wachezaj kama van gaal ilikuwa haina tija tuliyumba sana aliuza wachezaj wengi sana ambapo wangemsaidia mwisho wa siku akaanza kuchukua wakina fosuh mensah kazi ikawa ngumu zaidi naona kuwaacha ni mkakati mourinho alipochukua timu alizungumzia sana kuuza wachezaj kwa pupa nae ilimsumbua sana
 
✓Guys tufanye tunaloweza kufanya Matic apate dakika kiasi uwanjani..huyu jamaa huwa anapandisha timu na kucheza pasi zenye akili akianza kuingia kwenye eneo la wapinzani.

✓Ole aliendelea kutuonyesha kuwa hawa wachezaji wetu huwa wanafanya jogging tu kwenye training...hatuchezi kama watu wanaofundishwa vizuri..Kikosi tulichonacho inabidi tupige mpira mkubwa sana.

Anyway,ngoja tuone tena kwenye League Cup tutafanyaje vs hawa jamaa.

Tuchel naona hana maksihara..kashamalizana na Liverpool,Spurs na wikiendi anamalizana na City..Tujipange aisee
 
Huyu Tuchel, Rent boys watamkataa muda si mrefu!
Hadi wakati aliposign na kuja na kauli yake ya kutengeneza timu ambayo wapinzani hawatopenda kukutana nayo mkambeza na kusema hii EPL anafikiri yupo farmers league na atatimuliwa mapema sana....sasa tulieni dawa iingie kachukua uefa. Na.sasahv yupo n mission ya EPL ...
 
Ifik
Mpira ulipoisha jinsi OGS alivyokimbilia kwa wachezaji unajua kabisa hakuwa na plan kichwani ila alisubiri miujiza kama ya leo ambayo haitokei kila wikiendi
Muda mwingine tujifunze ku appreciate watu.
Game ya jana OGS kafanya sub ya pogba kaingia Lingz ambae aliirudisha timu mchezoni na kufunga goli.
Iweje useme hakuwa na plan? Ulitaka awe na Plan dakika ya 90 shaw aliposhika mpira?
Napokubaliana na wewe ni team bado haina kasi kwenye mashambulizi.
 
Hadi wakati aliposign na kuja na kauli yake ya kutengeneza timu ambayo wapinzani hawatopenda kukutana nayo mkambeza na kusema hii EPL anafikiri yupo farmers league na atatimuliwa mapema sana....sasa tulieni dawa iingie kachukua uefa. Na.sasahv yupo n mission ya EPL ...
Sawa
 
Huyu Tuchel, Rent boys watamkataa muda si mrefu!
Watamkataa akiwa amewapa mafanikio ya Ultimate kwhy kwa Chelsea itakua kwao ni win situation ndo maana unaona Falsafa ya Chelsea ya kufukuza na ajiri mwngne inawasaidia had kwa ss kua team kwny modern era yenye mafanikio.

Sasa nyie na Ole wenu mtakuja kushtuka kumfukuza akiwa amefanya tyr matumiz mabaya kbs ya hichi kikosi alichonacho hajapata kitu...Ole ana uwezo mdg sana wala ilo halihitaj kua hata na akil timamu kulijua ilo kwa kikoso hiki mpe Hata Conte anakuletea ubingwa anakuwekea hapo..Man U wasipokua makin kufny maamuz mapema msimu huu utakua kama uliopita tu same old stories.
 
Watamkataa akiwa amewapa mafanikio ya Ultimate kwhy kwa Chelsea itakua kwao ni win situation ndo maana unaona Falsafa ya Chelsea ya kufukuza na ajiri mwngne inawasaidia had kwa ss kua team kwny modern era yenye mafanikio.

Sasa nyie na Ole wenu mtakuja kushtuka kumfukuza akiwa amefanya tyr matumiz mabaya kbs ya hichi kikosi alichonacho hajapata kitu...Ole ana uwezo mdg sana wala ilo halihitaj kua hata na akil timamu kulijua ilo kwa kikoso hiki mpe Hata Conte anakuletea ubingwa anakuwekea hapo..Man U wasipokua makin kufny maamuz mapema msimu huu utakua kama uliopita tu same old stories.
Sawa
 
Ifik
Muda mwingine tujifunze ku appreciate watu.
Game ya jana OGS kafanya sub ya pogba kaingia Lingz ambae aliirudisha timu mchezoni na kufunga goli.
Iweje useme hakuwa na plan? Ulitaka awe na Plan dakika ya 90 shaw aliposhika mpira?
Napokubaliana na wewe ni team bado haina kasi kwenye mashambulizi.
Timu ina kasi sana kwenye kushambulia ila ndio ikiamua

Umeona lile bao lilivyochomolewa
 
Kwamba ole hakuna game alio kua down au level first half akaja kufanya sub na kuchange formation second half akapata matokeo ?

Ama unataka nikuhesabie ?

Ya kwanza ni hii ya leo vs Westham

Watu wakiamua kukusifia wameamua tuu! ila pale EPL hakuna kocha mwenye comeback nyingi kumzidi Ole ..
Pia hakuna Sub zenye Goal involvement pale EPL zaidi ya za Ole ...

Twende na takwimu chungulia picha hapo chini

Kuhusu game changing second half na comeback sina haja ya kukuletea takwimu manaa kama unafatiliaga mechi basi unalijua hilo..

Huyu Tuchel mnae msifia aliishindwa PSG yenye Potentila kuliko United ya Ole na walikutana aka M'outclass akiwa na kina Chong na Perreira unakumbuka????
Au umekatwa kichwa ??View attachment 1945446

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Wewe piga kelele hapa sijui nn.

Tuchel amecheza fainali mbili za uefa back to back na kabeba moja.

Huyo Ole Senseka wako ana nini cha kujisifu. Comeback,???

Hey fella.
 
  1. scott mctominay ni press resistance asiyejitambua (kujifahamu), tulipocheza na liverpool pale anfield msimu uliopita ndipo kwa mara ya kwanza nilipogundua uwezo wake, alikuwa anatembea na mipira kwa ufasaha huku akiwa kwenye presha kubwa sana dhidi ya wachezaji wa liverpool, hata mechi ya jana dhidi ya west ham baadhi ya nyakati alikuwa akifanya hivyo lakini tatizo kubwa linalomsumbua ni uoga wa kipumbavu pengine unaotokanwa zaidi na malezi ya kisoka (matoto ya kiengereza yanayocheza midfield hayapendi kuchezea mpira). Ningelikuwa karibu yake ningelimshauri awe anamuangalia mateo kovacic akiwa uwanjani kila mechi.
  2. fred amejaaliwa energy kubwa sana hali inayomfanya awe na uwezo wa kucheza kila wiki bila ya kuonyesha uchovu wa kimwili, tatizo lake kubwa ni kwamba kila wiki atakuonyesha tatizo la uchovu wa kifikra na kimaamuzi kadri anapokuwepo uwanjani.
  3. wakati scott anateswa na uoga unaomfanya afanye maamuzi ya ovyo mara kwa mara kwa mfano kupiga pasi mbovu akiwa kwenye presha, ukosefu wa ball retention, kupiga square passess hususani upande wa kulia wa wan bissaka wakati ambao ana uwezo wa kupiga pasi itakayovuka defence line ya timu pinzani kama alivyofanya jana kwa kumpasia ronaldo, kushindwa kutembea na mipira akiwa juu kwa haraka na kuvunja umbile la ulinzi la timu pinzani upande wa pili wa fred yeye ndio hawezi kabisa kuhimili presha ya timu pinzani hususani wanapomvamia kwa lengo la kumpokonya mpira (amekuwa akifanya makosa yanayojirudia),pia hawezi kutembea na mpira.
  4. Tunaihitaji miguu na akili ya matic ya kimpira kwenye mwili wa fred na scott, wakati huo huo tunaihitaji energy ya fred na speed ya scott kwenye mwili wa matic (pengine wataalamu wa artificial intelligence wanaweza kutusaidia kwa kututengenezea kiumbe hicho)............tukishapata kiumbe hicho tutakuwa na uwezo wa kupambana na energy ya fabinho, matteo kovacic, bissouma na wengineo
  5. sifurahishwi na tetesi za declan rice japokuwa ana vigezo vyote vya midfield anayelengwa, nitafurahishwa na tetesi za kumuhitaji jarrod bowen.
  6. jana CR7 amemshusha Andy cole kwenye list ya wafungaji bora wa muda wote ndani ya klabu, anahitaji magoli matano kumshusha Ole gunnar solskjaer. Kama tutashambulia kama jana basi upo uwezekano wa ronaldo wa kufunga hatrick (tumepiga shots on target 10, ilikuwa ni rekodi bora sana)
  7. tunalinda vizuri sana mipira ya krosi (msimu uliopita kila baada ya dakika 200 na upuuzi tulikuwa tunafungwa kwa njia ya krosi, msimu huu tumeshacheza takribani dakika 500 bila ya kufungwa kwa njia ya krosi), lakini pia tuna tatizo la kutokufunga mipira ya kona kwa sasa (natamani maguire apewe kichwa cha vidic), jana tumepiga kona 12 kama nitakuwa sahihi
  8. maguire na tatizo lake la kupoteza mipira ovyo akiwa kwenye maeneo ya hatari, maguire na matatizo yake ya kufanya maamuzi asiyo na uhakika nayo........inawezekana maguire ni mchezaji mpya ndani ya kikosi kuliko varane (tumvumilie kuku mgeni)
  9. pogba na bruno interchange pasi ni 🙌🙌🙌, namtamani cavani pale mbele aje atuongezee blank space kwa mikimbio yake (ronaldo amekuwa poacher zaidi)
  10. waingereza na ndimi mbili.....sancho apewe uhuru lakini wengine wakianza vibaya ni ruhusa kuwasema vibaya.
  11. tuna midfield watatu wasiopata namba timu kubwa yeyote, tuendelee kuwa wavumilivu kwani hakuna njia nyengine ya kuepuka kikombe hiki.
 
Back
Top Bottom