Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,023
Hahaaa...inabidi wakuite "msimamo" badala ya zedudu maana kila uchwao unaye OleBado hajafukuzwa tu


Hahaaa...inabidi wakuite "msimamo" badala ya zedudu maana kila uchwao unaye OleBado hajafukuzwa tu


Nakumbuka matic alipokuwa Chelsea alikuwa Moto sana kaja huko manure kadoda mbaya✓Guys tufanye tunaloweza kufanya Matic apate dakika kiasi uwanjani..huyu jamaa huwa anapandisha timu na kucheza pasi zenye akili akianza kuingia kwenye eneo la wapinzani.
✓Ole aliendelea kutuonyesha kuwa hawa wachezaji wetu huwa wanafanya jogging tu kwenye training...hatuchezi kama watu wanaofundishwa vizuri..Kikosi tulichonacho inabidi tupige mpira mkubwa sana.
Anyway,ngoja tuone tena kwenye League Cup tutafanyaje vs hawa jamaa.
Tuchel naona hana maksihara..kashamalizana na Liverpool,Spurs na wikiendi anamalizana na City..Tujipange aisee

Kuna kipindi matic alionekana takataka mbele ya mashabiki,Leo hii Ni mwambaBao la pili pasi inatoka kwa matic
Kitu ambacho fred na scot hawana
Sasa kama hawataki kuheshimu mawazo ya wenzako tuwaiteje? Mtu akichangia yeye unamjibu kwa hoja bila matusi, wewe ukichangia tofauti na mtazamo wake unaitwa plastic fan.Unapata wapi ujasiri wa kuita mashabiki wenzako wapumbavu.?
Tatizo ni kuamini wewe unajua mpira kuliko waliompa kazi, wewe una uchungu na Man U kuliko yoyote yule.Sasa kama hawataki kuheshimu mawazo ya wenzako tuwaiteje? Mtu akichangia yeye unamjibu kwa hoja bila matusi, wewe ukichangia tofauti na mtazamo wake unaitwa plastic fan.
Hivi Man U, iwe na plastic fans kwa mafanikio gani iliyoyapata hivi karibuni? Plastic fans washindwe kupatina Chelsea, Man City na Liverpool waje wapatikane kwenye team ambayo haijachukua kombe mwaka wa nane huu?
Ni sawa na uanze kufikiria kuna plastic fan wa Arsenal, kwa moyo gani wa uvumilivu alio nao?😅
mwambie aingie Google baadae atafute empty seats, baada ya hapo ataletewa result zipi kwenye ukurasa wa kwanza?Tulia wewe bwana mdogo,soka haijawahi kuwa na direct way ya kuanalyse mambo,flactuations zipo sana...fanya kazi upate hela ya kununua ticket ili mjaze emptyhad.
Hahahaha..Pep kazua mambo kweli.mwambie aingie Google baadae atafute empty seats, baada ya hapo ataletewa result zipi kwenye ukurasa wa kwanza?
Guardiola amezua balaa
Amekamilika kama matic??? Maana sijawahi mfuatiliaRoy Keane anasema Declan Rice ndo mwarobaini wa Midfield yetu.
Kumbuka unazungumzia Matic wa miaka 26 vs Matic wa miaka 32.Nakumbuka matic alipokuwa Chelsea alikuwa Moto sana kaja huko manure kadoda mbaya
Sometimes unaweza sema.hayupo huko
Mata nae japo alikiwa hapati dakika za kutosha Chelsea ila alikuwa na impacts kubwa Sana kaja huko manure ndio kabisa saivi anakula mshahara
Hazard da maskini huyu jamaa angecheza.pale Chelsea Hadi leo angekuwa na statistics za kutisha Sana
Kakimbilia Madrid kanenepeana kadoa
Sitaki kumzungua lukaku maana mnajua jinsj manure mlivyom shit
Hehehe
#ktbffh
Kiasi fulani yupo poa..ila sasa mkuu si unajua tena matoto ya Kiingereza!!Amekamilika kama matic??? Maana sijawahi mfuatilia
Mashabiki wa united tunatabia ya kusahau sana.✓Guys tufanye tunaloweza kufanya Matic apate dakika kiasi uwanjani..huyu jamaa huwa anapandisha timu na kucheza pasi zenye akili akianza kuingia kwenye eneo la wapinzani.
✓Ole aliendelea kutuonyesha kuwa hawa wachezaji wetu huwa wanafanya jogging tu kwenye training...hatuchezi kama watu wanaofundishwa vizuri..Kikosi tulichonacho inabidi tupige mpira mkubwa sana.
Anyway,ngoja tuone tena kwenye League Cup tutafanyaje vs hawa jamaa.
Tuchel naona hana maksihara..kashamalizana na Liverpool,Spurs na wikiendi anamalizana na City..Tujipange aisee
Na mimi kwa kulijua hilo ndo maana nimesema apewe dakika kiasi,sijasema aanze kila game maana nguvu hiyo hana kwa sasa..kuna games anafit poa tu hasa ambazo mpinzani hapress sana..Mashabiki wa united tunatabia ya kusahau sana.
Matic huyu huyu ndiyo aliyeruhusu tuteswe na Southampton pamoja na Wolves.
Sisi mchezaji akipiga pass moja nzuri tunasahau kila dhaifu lake na kuona wengine wote hawafai.
Hoja yangu haimanishi Matic hana ubora wowote.
Ukweli ni kwamba katika mfumo wetu wa double pivot
FredScot hii ndiyo double pivot strong zaidi kwenye kikosi chetu.
FredPogba hii ni partnership mbovu zaidi katika kikosi chetu.
Scot Pogba ni double pivot imara pia.
Matic Pogba ni double pivot strong ila siyo sawa na zingine.
Ni heri tuendelee kuomba Scot asipatwe na majeraha kuliko kutegemea 32 old Matic. Kwasababu Scot huwa anawacompliment hao wajinga wajinga wengine wote.
Matic sasa hivi anachukuliwa kama back up tu na probably haijapatikana offer sahihi kwake huenda akauzwa.Na mimi kwa kulijua hilo ndo maana nimesema apewe dakika kiasi,sijasema aanze kila game maana nguvu hiyo hana kwa sasa..kuna games anafit poa tu hasa ambazo mpinzani hapress sana..
Hiyo ndo shida kubwa mliyonayo baadhi yenu, mtu akitoa maoni yanayokipangana na yenu anaonekana anajifanya kuujua sana mpira kuliko nyinyi.Tatizo ni kuamini wewe unajua mpira kuliko waliompa kazi, wewe una uchungu na Man U kuliko yoyote yule.
Toka msimu uanze team haijafungwa kwenye ligi ina draw moja tu. Ila hizo lawama kwa kocha utafikiri tupo relegation zone.
Kuna watu watakwambia,hautakiwi kumkosoa Sosha kwakua mpaka Sasa team haijafungwa wakati mbinu anazotumia ni zilezile ambazo zilifeli msimu iliyopita😅.Kuuliza sio ujinga sosha hana mfumo tafauti lazima atumie double pivot? Alafu ukiangalia game zetu hatupo aggressive kabisa kwenye ukabaji tafaut na timu kama liver na Chelsea
Mimi nina wasiwasi na uwezo wa sosha kimbinu...angalia Chelsea aliyoiacha Lampad alivyokuja tunchel imebadilika kabisa...sisi tunakikosi lakn mbinu za kocha hazipo sawa
Hizo empty seats ndio zinamlipa pep na wachezaji wengine mishahara minono ...mwambie aingie Google baadae atafute empty seats, baada ya hapo ataletewa result zipi kwenye ukurasa wa kwanza?
Guardiola amezua balaa
Hizo empty seats ndizo zimesababisha Chelsea imemshushia kipigo Cha mmbwa koko City zaidi ya mara 3 mfululizoHizo empty seats ndio zinamlipa pep na wachezaji wengine mishahara minono ...
Ndio zimemsajili grealish €100million...
Hizo empty seat ndio zimebeba epl ....
Hizo empty seat ndio zimefika final CL ,..
Hizo empty seat ndio zinatembeza kichapo baran ulaya ...
This is our city ,

Na empty seats zinaenda kuvunja daraja la Stamford bridge jumamosHizo empty seats ndizo zimesababisha Chelsea imemshushia kipigo Cha mmbwa koko City zaidi ya mara 3 mfululizo![]()



