passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,516
- 12,488
Hamna huo uwezo Kwa sasa Kwanza nasikia mna majeruhi wemgiNa empty seats zinaenda kuvunja daraja la Stamford bridge jumamos
Ze cityzen chairman
Hamna huo uwezo Kwa sasa Kwanza nasikia mna majeruhi wemgiNa empty seats zinaenda kuvunja daraja la Stamford bridge jumamos
Ze cityzen chairman
Empty City haiwalipi,kinachowalipa ni hela za mafuta.Hizo empty seats ndio zinamlipa pep na wachezaji wengine mishahara minono ...
Ndio zimemsajili grealish €100million...
Hizo empty seat ndio zimebeba epl ....
Hizo empty seat ndio zimefika final CL ,..
Hizo empty seat ndio zinatembeza kichapo baran ulaya ...
This is our city ,
Unaniuliza swali ambalo alipaswa aulizwe Sosha.Kuuliza sio ujinga sosha hana mfumo tafauti lazima atumie double pivot? Alafu ukiangalia game zetu hatupo aggressive kabisa kwenye ukabaji tafaut na timu kama liver na Chelsea
Mimi nina wasiwasi na uwezo wa sosha kimbinu...angalia Chelsea aliyoiacha Lampad alivyokuja tunchel imebadilika kabisa...sisi tunakikosi lakn mbinu za kocha hazipo sawa
Kama ni hivo tungekuwa tushapigwa rungu..!Empty City haiwalipi,kinachowalipa ni hela za mafuta.
Man City ni team ambayo hata mauzo yake ya jersey hayawezi kuifikia Aston Villa.
Sasa unataka kusema Man City huwa nmna mauzo ya jersey makubwa? Kama ni madogo na uwanja hamjazi hela mnatoa wapi tofauti na za mafuta? Maana tofauti na hapo vyanzo vingine vya mapato sio vikubwa kwenu, hata wadhamini mlionao ni wa nyanya tu.Kama ni hivo tungekuwa tushapigwa rungu..!
Acha kujilinganisha na sisi wewe ,kila season tunabeba kombe ,tunamaliza top 2 , high streaming ,...Sasa unataka kusema Man City huwa nmna mauzo ya jersey makubwa? Kama ni madogo na uwanja hamjazi hela mnatoa wapi tofauti na za mafuta? Maana tofauti na hapo vyanzo vingine vya mapato sio vikubwa kwenu, hata wadhamini mlionao ni wa nyanya tu.



AmAcha kujilinganisha na sisi wewe ,kila season tunabeba kombe ,tunamaliza top 2 , high streaming ,...
Una macho ila huoni
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
High streaming ....High streaming za wapi hizo? Acha kutudanganya mkuu.Pale EPL kuna team imayofatiliwa sana kama Utd? Au unasema streaming gani
Am
Katiba inaheshimu hata waliotoka mirembe ndiyomaana ikakupatia uhuru hata wa kuota kama unavyoota sasa hiviNa empty seats zinaenda kuvunja daraja la Stamford bridge jumamos
Ze cityzen chairman

Nimekuja kugundua huyu kocha hana formula yoyote ile uwanjani zaidi ya ile ya kwenye makaratasi.Kuuliza sio ujinga sosha hana mfumo tafauti lazima atumie double pivot? Alafu ukiangalia game zetu hatupo aggressive kabisa kwenye ukabaji tafaut na timu kama liver na Chelsea
Mimi nina wasiwasi na uwezo wa sosha kimbinu...angalia Chelsea aliyoiacha Lampad alivyokuja tunchel imebadilika kabisa...sisi tunakikosi lakn mbinu za kocha hazipo sawa
Co EPL sema duniani.High streaming za wapi hizo? Acha kutudanganya mkuu.Pale EPL kuna team imayofatiliwa sana kama Utd? Au unasema streaming gani
Am
Mimi ndio nazaliwa huo mwaka jamaa ndio linaanza kuupiga mwingi ..haya maisha hata dah!On this day in 1994, Paul Scholes made his Manchester United debut and a legend began
manutd |
#GGMUView attachment 1947500