Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mzee mmepigwa na kutapeliwa haswa mcheki anachoka Sana,, mcheki second half anavyotoa ulimi nje,,that why goli mostly anazibahatisha first half ..ni geresha lile we subiri mpaka mwisho was msimu atakanyo data na epl , epl sio ligi ya wazee ile
Mechi 2 goli 3
 
  1. scott mctominay ni press resistance asiyejitambua (kujifahamu), tulipocheza na liverpool pale anfield msimu uliopita ndipo kwa mara ya kwanza nilipogundua uwezo wake, alikuwa anatembea na mipira kwa ufasaha huku akiwa kwenye presha kubwa sana dhidi ya wachezaji wa liverpool, hata mechi ya jana dhidi ya west ham baadhi ya nyakati alikuwa akifanya hivyo lakini tatizo kubwa linalomsumbua ni uoga wa kipumbavu pengine unaotokanwa zaidi na malezi ya kisoka (matoto ya kiengereza yanayocheza midfield hayapendi kuchezea mpira). Ningelikuwa karibu yake ningelimshauri awe anamuangalia mateo kovacic akiwa uwanjani kila mechi.
  2. fred amejaaliwa energy kubwa sana hali inayomfanya awe na uwezo wa kucheza kila wiki bila ya kuonyesha uchovu wa kimwili, tatizo lake kubwa ni kwamba kila wiki atakuonyesha tatizo la uchovu wa kifikra na kimaamuzi kadri anapokuwepo uwanjani.
  3. wakati scott anateswa na uoga unaomfanya afanye maamuzi ya ovyo mara kwa mara kwa mfano kupiga pasi mbovu akiwa kwenye presha, ukosefu wa ball retention, kupiga square passess hususani upande wa kulia wa wan bissaka wakati ambao ana uwezo wa kupiga pasi itakayovuka defence line ya timu pinzani kama alivyofanya jana kwa kumpasia ronaldo, kushindwa kutembea na mipira akiwa juu kwa haraka na kuvunja umbile la ulinzi la timu pinzani upande wa pili wa fred yeye ndio hawezi kabisa kuhimili presha ya timu pinzani hususani wanapomvamia kwa lengo la kumpokonya mpira (amekuwa akifanya makosa yanayojirudia),pia hawezi kutembea na mpira.
  4. Tunaihitaji miguu na akili ya matic ya kimpira kwenye mwili wa fred na scott, wakati huo huo tunaihitaji energy ya fred na speed ya scott kwenye mwili wa matic (pengine wataalamu wa artificial intelligence wanaweza kutusaidia kwa kututengenezea kiumbe hicho)............tukishapata kiumbe hicho tutakuwa na uwezo wa kupambana na energy ya fabinho, matteo kovacic, bissouma na wengineo
  5. sifurahishwi na tetesi za declan rice japokuwa ana vigezo vyote vya midfield anayelengwa, nitafurahishwa na tetesi za kumuhitaji jarrod bowen.
  6. jana CR7 amemshusha Andy cole kwenye list ya wafungaji bora wa muda wote ndani ya klabu, anahitaji magoli matano kumshusha Ole gunnar solskjaer. Kama tutashambulia kama jana basi upo uwezekano wa ronaldo wa kufunga hatrick (tumepiga shots on target 10, ilikuwa ni rekodi bora sana)
  7. tunalinda vizuri sana mipira ya krosi (msimu uliopita kila baada ya dakika 200 na upuuzi tulikuwa tunafungwa kwa njia ya krosi, msimu huu tumeshacheza takribani dakika 500 bila ya kufungwa kwa njia ya krosi), lakini pia tuna tatizo la kutokufunga mipira ya kona kwa sasa (natamani maguire apewe kichwa cha vidic), jana tumepiga kona 12 kama nitakuwa sahihi
  8. maguire na tatizo lake la kupoteza mipira ovyo akiwa kwenye maeneo ya hatari, maguire na matatizo yake ya kufanya maamuzi asiyo na uhakika nayo........inawezekana maguire ni mchezaji mpya ndani ya kikosi kuliko varane (tumvumilie kuku mgeni)
  9. pogba na bruno interchange pasi ni 🙌🙌🙌, namtamani cavani pale mbele aje atuongezee blank space kwa mikimbio yake (ronaldo amekuwa poacher zaidi)
  10. waingereza na ndimi mbili.....sancho apewe uhuru lakini wengine wakianza vibaya ni ruhusa kuwasema vibaya.
  11. tuna midfield watatu wasiopata namba timu kubwa yeyote, tuendelee kuwa wavumilivu kwani hakuna njia nyengine ya kuepuka kikombe hiki.
Well observed and well presented, ila kuna omission kubwa sana umefanya ambayo ninauhakika inamshangaza kila mmoja.
 
  9. pogba na bruno interchange pasi ni , namtamani cavani pale mbele aje atuongezee blank space kwa mikimbio yake (ronaldo amekuwa poacher zaidi)
  10. waingereza na ndimi mbili.....sancho apewe uhuru lakini wengine wakianza vibaya ni ruhusa kuwasema vibaya.
  11. tuna midfield watatu wasiopata namba timu kubwa yeyote, tuendelee kuwa wavumilivu kwani hakuna njia nyengine ya kuepuka kikombe hiki.
Bao la pili pasi inatoka kwa matic

Kitu ambacho fred na scot hawana
 
Nyinyi kunguni ni suala la muda tu kabla hamjaanza kudondosha points.

Ole Sendeka mtamkataa

Screenshot_2021-09-20-12-56-09-799_com.mobilefootie.wc2010.jpg

View attachment 1946054

Tutaelewana tu.
 
Bao la pili pasi inatoka kwa matic

Kitu ambacho fred na scot hawana
Kwa jinsi OGS alivyokabiliana na media kuhusu kiungo chetu ni kama vile alikuwa na mpango kabambe wa kuziba hayo madhaifu ndio maana usajili uliofuata aliuchukulia kama bonus tu. Lakini leo madhaifu yanaonekana wazi kabisa.
 
Unaizungumzia swala la Bissaka kupata Kasi nyekundu ndo kuliharibu game? Yani kadi ndo ifanye Man U kupoteza kwa Team ndogo kama Young boys?

Ile game ya Chelsea na Liverpool, Chelsea alivyopigwa kadi aliyumba? Hebu fikira kwa huu uchezaji wetu tupigwe kadi tutakufa goli ngapi mbele ya Liverpool?

Kilichofelisha ile game sio kadi nyekundu, bali ni mbinu ambazo kocha ali-emply Ili kuendana na mapungufu ya wachezaji yaliyokuwa yanamkabili hapo bado kocha alipwaya.

Mnamtetea Ole ila kimsingi uwezo wake mdogo sana.
Huyo Tuchel wako alikula tano kwa West Brom kisa red card kama unafatilia mpira sema kwa sababu kapata sare na Liva mnataka kila game kucompare tu
 
Hivi unajua tuchel alipigwa kadi nyekundu akafa 5-2 kwa Westbroom?

Matokeo unayopata baada ya kupigwa red yanategemea sana mpinzani wako anacheza vipi, na mbinu za kocha wenu kumkabili. Ole hakuwa na mbinu yoyote ya kuwakabili young boys baada ya ile kadi nyekundu.
Lakini pia kocha wa young boys alikuwa na mbinu ya kucheza na watu waliopungufu. + Lingard blunder
Umejibu vizuri sijui atakuja na sababu gani Tuchel kala 5 kwa washuka daraja West Brom
 
Huyo Tuchel wako alikula tano kwa West Brom kisa red card kama unafatilia mpira sema kwa sababu kapata sare na Liva mnataka kila game kucompare tu
Haya Ole ni kocha mzuri na kwa kikosi hiki ni lazima tuchukue ubingwa.

Ikishindikana tusubirieni mwisho wa msimu Ili tukamilishe miaka tisa bila kombe, kisha tumpe misimu mingine hata mitatu Ili aendelee kuijenga timu yetu vizuri.

Inshallah, Allah atajaalia.
 
Atkinson continues to be the worst ref in the prem,penalt mbili za wazi kabisa tumenyimwa,and where the fu.ck was VAR?.

Bet you wish you had paid up for Lingard now you cheap bastards West Ham..£25m tu mkaona nyingi kwa huyu Lingard.

Nafuta kauli..Lingard abaki United ..ni squad player mzuri tu.
 
Wewe ni shabiki wa mihemko tuuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Jana ronaldo anajitekenya na kucheka huku akitaka penalty nyepesi

Epl walishatoa waraka kuwa hakuna faulo nyepesi watakazo kubali na kutoa penalty,...

Ndio maana ile foul ya Walker vs saton ilifutwa ,...

Epl ni kwa ajili ya wanaume wapambanaji sio mabingwa wa kudive kudadekiiiii

Back
Top Bottom