Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Shabiki wa Manchester ambaye ana imani na Kocha huyu OLE huwa si muangaliaji mpira utakuta ana angalia highlights na matokeo tu, lakini sisi tunao angalia mpira tunajua huyu OLE uwezo wake wa kiufundishaji ni mdogo sana na hakuna kikombe atakachoshinda
 
Una masho, lindag, bissaka, magwaya halafu halafu una kikosi kizito hahahaha...
Hao wachezaji wangekuwa Chelsea wangeshauzwa kitambo ..rose Barkley na bakayoko wangekuwa manure wangepata namba hakika.
Unakumbuka kwamba mara ya mwisho tunawakula pale Stanford Bridge goli la kwanza alifunga Martial akipewa pasi ya upendo na Bissaka na bao la pili aliwapiga captain mwenyewe Harry Maguire.
 
Bado nimetahamaki
Hivi aliwaza Nini mpaka akawatoa
Van de beek, Fernandez na Ronaldo?
Team ilikuwa inashambuliwa na hao wrote walikuwa hawakabi inavyotakiwa ndio mana akaingia lingard na matic.. Na walipoingia hao uliona mashambulizi yalipungua
 
Young boys hainawachezaji wazuri....?
Wachezaji wazuri ni wachezaji wapi/ wa aina gan. Or unamaanisha wachezaji maarufu....?
 
Young boys kwenye ligi yao ni timu ambayo inatawala ni kama Madrid Spain au bayern German au Simba na Yanga kwa Tz.
 
Kiungo wa kati wa Ubelgiji Youri Tielemans anasema kwamba anaweka hatma yake wazi huku akiendelea kujadiliana kuhusu mkataba wake na klabu ya Leicester. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 amehusishwa na uhamisho wa Liverpool, Manchester United , Barcelona na Real Madrid..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…