The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ingekuwa zamani linge block ile pasi.Eee alidhamilia kabisa na alimuona lingard yuko eneo zuri zaidi yake
Ingekuwa zamani linge block ile pasi.Eee alidhamilia kabisa na alimuona lingard yuko eneo zuri zaidi yake
Kama Rashford angepewa nafasi ya kucheza free kicks na penalties msimu uliopita angefunga 40+ goals.Bora kuuza Rashford kuliko Cavan, Cavan ni dhahabu muulizeni Ronaldo.Jamaa hatoki mU
The biggest problem with me, ni kwamba ronaldo hakuwa kwenye mipango yetu, i seriously hate mambo ya kukupuka.Yah matic alikuwa na makosa mengi mno ya kiufundi, anaonekana umri ushamtupa mkono, but kwasababu tayari tuna kiongozi uwanjani mwisho wa siku lazima ufurahi tu, ni tofauti kama tungefanya usajili wa DM bado shida ingebaki pale pale, tunakaba lkn goli hamna.
Kwenye soka magoli ndio kila kitu, unaweza ukawa na defence mbovu lkn forward zinafunga na mkashinda mechi kulko kuwa na defence nzr forward mbovu mnaishia kupata sare au ushindi mwembamba.
So for that reason naona tulimhitaji CR7 kuliko kima yyte yule duniani.
Alafu wewe nyumbu umenikosesha points kibao kwenye FPL ulinishauri nisitumie triple captain nikaitoa kwa Bruno dah ningepata points nyingi sana leoCR7 Mnyama




Mkuu umesahau cr7 tulianza kumtaka arudi tokea yupo Madrid?The biggest problem with me, ni kwamba ronaldo hakuwa kwenye mipango yetu, i seriously hate mambo ya kukupuka.
Ronalso ni human being, inamaana akipata matatizo inakuwaje sasa?
Cristiano au Lionel hawa wachezaji hata wawe na mguu mmoja na ikatokea nafasi ya kuwasajili siwezi kujifikiria mara mbili. Mchezaji ana uhakika wa kukupa goli 20 za ligi kuu kwa msimu unataka nini tena.Mkuu PTER I told you shida ya Utd was a true leader and not DM, tulimhitaji CR7 kuliko mpumbavu yyte duniani.
Jombaa mambo aliyotufanyia Cristiano hata mimi ningewepo pale uwanjani ningekuwa nashangilia.OT Ronaldo alikuwa akipiga mpira nyavuni wakati wa warm up, mashabiki wanashangilia. it was crazy.
Sasa mkuu hata kama tusingemsajili Ronaldo unadhani Ole alikuwa anafanya sajili nyingine?..jibu ni hapana.The biggest problem with me, ni kwamba ronaldo hakuwa kwenye mipango yetu, i seriously hate mambo ya kukupuka.
Ronalso ni human being, inamaana akipata matatizo inakuwaje sasa?
Rashford auzwe tupate pesa ya kyongeza washambuliaji brainKama Rashford angepewa nafasi ya kucheza free kicks na penalties msimu uliopita angefunga 40+ goals.
Pamoja na mapungufu yake dogo tumpe heshima yake.
Anaweza asiuzwe ila tu asipewe airtime kubwa mana kuna Cavani, wacha wanaojua wacheze, haya matoto yenye masihara yakae yajifunze au yaendelee kutema mate yakiwa benchi.Rashford auzwe tupate pesa ya kyongeza washambuliaji brain




