Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lukaku kajua kuzima kelele za Ronaldo leo tusingelala leo vizuri
U say??!!!!!!!!!!!
JamiiForums999084036.jpg
 
Cristiano au Lionel hawa wachezaji hata wawe na mguu mmoja na ikatokea nafasi ya kuwasajili siwezi kujifikiria mara mbili. Mchezaji ana uhakika wa kukupa goli 20 za ligi kuu kwa msimu unataka nini tena.

Kusema ukweli kwa sasa hivi tuna kikosi kizito sio mahaba hata kama kima yeyote yule awe anatuongoza goli 3 bila zinaweza kurudi dakika yoyote ile. Mchezo wa leo wachezaji walicheza kwa pressure kubwa kutoka kwa mashabiki ila wamejitajihidi kui-handle.

Ronaldo, Bruno, Pogba, Greenwood, Sancho, Varane, Maguire, Shaw, Cavani, Rashford - Haki ya nani Ole hana excuse msimu huu. EPL na FA haya makombe mawili kwangu mimi msimu huu ni non-negotiable ni lazima ababe la si hivyo atuachie timu.
Messi atazeeka haraka hatafikia umri wa CR7 akiwa fit vile.
CR7 atfunga 20+ goals hata akiwa 40
 
mkuu hawa watu wawili sio wa kuwalinganisha hvyo
Kwa umri tunaweza kuwalinganisha ndg, kwa uchezaji sawa, kila mmoja anacheza style tofauti, ila kwenye kustaafu Messi atawahi kuliko Ronaldo
Messi anategemea talent zaidi kucheza na kuscore, Messi is a natural player and goal scorer
Ronaldo ni mtu wa nidhamu na mazoezi, hapo ndipo wanapottofautiana - Mechanic player, anategemea mazoezi ili apate matokeo mazuri na pia ana nidhamu ya mazoezi na ndio siri ya mafanikio yake. Watu wa naman hii wanaweza kucheza hata kwenye umri ule wa uzee yaani over 40
 
Sasa mkuu hata kama tusingemsajili Ronaldo unadhani Ole alikuwa anafanya sajili nyingine?..jibu ni hapana.

Na Ronaldo akiwa hayupo kwa majeraha au uchovu tutatumia tuliokuwa tumepanga kuwatumia msimu huu bila yeye.

Tuache kuwa negative..kuna wachezaji wakusajiliwa hata kama ni kwa kukurupuka..Messi na Ronaldo ni mfano..PSG na sisi tulisajili wao watu respectively coz fursa ilitokea na kulikuwa hamna jinsi ya kujiuliza mara mbili.

Huyu Ronaldo anaenda kuwa Top scorer wa msimu huu..Mark my words.
100%
 
Back
Top Bottom