mfarisayo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 5,160
- 2,004
i hope we can cope...now its time for the likes of cleverly,anderson,kagawa,fellaini to show what they are made of!!!
Jamaa yupo kiwango sana katika kumiliki kiungo na kuchezesha timu, Pendo lake litatutesa sana hasa kipindi hichi muhimu katika kurudi kwenye nafasi ya kuongoza. Anderson namkubali japo hawezi kucheza dkk 90, Cleverly ni mzuri kwa kuwa anashambulia zaidi, Kagawa hawezi kukaba yeye ni mchezeshaji tu, Fellain ni mzuri kukaba ila ni mzito sana kwenye mechi ambayo ina kasi hawezi kabisa kucheza. Binafsi ningependa kuona Big Phil (Jonhs) kucheza nafasi ya Carrick