Mbeky
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 672
- 520
Jamani ushindi raha yahani mpaka leo siamini tulivyowafunga hawa vibonde wetu..yahani kuanzia leo nimerudisha imani haki ya nani wachezaji wakicheza kwa kujituma kama hiyo juzi december mbali sana tutakua on top of the table...kwa sasa we are in for the title sio kujenga timu