The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Pogba.hivi goli la lingard katoa assist pogba au martial?
Pogba.hivi goli la lingard katoa assist pogba au martial?
Mi nadhani sababu alidhamiria kuruka, martial ndo katoa pasi. sababu pogba alimpigia martial.Pogba nazani martial aliluka ule mpira
Pogba, martial kauruka(kuwapiga karata 3 mabeki wa NC utd)hivi goli la lingard katoa assist pogba au martial?
mkuu hukuona makosa kibao ya matic?Mkuu PTER I told you shida ya Utd was a true leader and not DM, tulimhitaji CR7 kuliko mpumbavu yyte duniani.
OT Ronaldo alikuwa akipiga mpira nyavuni wakati wa warm up, mashabiki wanashangilia. it was crazy.OT leo ilikuwa balaa..yaani mimi nacheki gemu kwenye TV lakini naona vibe kinoma..
Mbona kaupigaSancho tumepigwa
Unateseka ukiwa wapi na pesi wa farmers leagueRonaldo shoga
Daah mkuu yamekua aya tenaTunachukua kombe unbeaten

Yah matic alikuwa na makosa mengi mno ya kiufundi, anaonekana umri ushamtupa mkono, but kwasababu tayari tuna kiongozi uwanjani mwisho wa siku lazima ufurahi tu, ni tofauti kama tungefanya usajili wa DM bado shida ingebaki pale pale, tunakaba lkn goli hamna.mkuu hukuona makosa kibao ya matic?
Essence ya kucheza 3 1 4 2 ni ipi ?Hatuwezi kwenda na 4-4-2 Diamond, 3-1-4-2!?