Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,294
Hapana hayupo kikosini
Hapana hayupo kikosini
Leo Newcastle anakuja kuwa aibishaHatimaye nimerudi kuishangiliabtena Man Utd![]()
Man Utd sio Arsenal mkuu😂Leo Newcastle anakuja kuwa aibisha






De geaNaomba squad ya leo wakuu.
Naomba squad ya leo wakuu.
Haya mambo yake ya 4-2-3-1 aachane nayo.De gea
AWB rapha harry luke
Nemanja Paul
Mason Bruno jadon
Cristiano
Not bad!! Japo Nemanja kachoka flan siku hz
Wachawi washaanza kutupangia matumiziCavan atafute sehemu ya kwenda ,hawezi pata namba tena United ....





Sasa mtu una kikosi kama hiki unataka nini tena.
Leo dunia nzima inasubiri another debut ya cr7 at Utd.Sema naona watoto wameamza na beki 5 nyuma, wanajua kabisa wakifunguka wanacho
Japo me sio mtaalamu kwenye mambo ya uchambuzi wa mpira. Kwani kuna ulazima wa kutumia hili formation 4-2-3-1!?Haya mambo yake ya 4-2-3-1 aachane nayo.