Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,695
- 32,446
Striker..Mchezaji akifunga ama kua assist hapo utapata points kama zote, sasa inabidi uotee nani atakuwa wa moto wiki husika. Mfano Nikuulize unazani wiki hii kwenye epl ni wachezaji gani watafanya vizuri? Pia kwenye clean sheet mabeki na golikipa wanapata pointi
Wenzake wapi ambao kacheza nao walishastaafu ?Hawezi kukaa kwenye kikosi chetu anakaa bench tuu,.... .,
Unaona ronaldo anaweza kumweka bench nan city ...
Wamecheza na ronaldo, cio ronaldo kacheza nao😅😅😅❤ GOATWenzake wapi ambao kacheza nao walishastaafu ?
Wakuu nikiangalia hii picha kwa makini ni kama sosha anamwuliza ronado kama amrudishe na felaini au amtafutie mshambuliaji kama rick lambert wasaidiane mbele pale.
Naona ronado anajibu "walete wote wawili tupige kazi"



Na Matio alishinda kagoli pale france , ni taabu tupuManchester United squad to face Newcastle: De Gea, Heaton, Grant, Wan-Bissaka, Dalot, Varane, Maguire, Lindelöf, Bailly, Shaw, Matić, Van de Beek, Pogba, Mata, Lingard, Bruno Fernandes, Martial, Sancho, Greenwood, Elanga, Cristiano Ronaldo.
Ole kutukera tu still kesho ataanza na Martial. Cavani sijui kapotelea wapi tena.View attachment 1932527
Umemshtukia na wewe... jamaa man u damu damu,anachangamsha barazaIli jamaa ni man u me nawaambia![]()
Sio kirahisi kihivyoUSIKU WA DENI HAUCHELEWI KUPAMBAZUKA
LEO NEWCASTEL ANAKULAA MKONO
CR7 ANAWEKA
BRUNO ANA ASSIST
ALAFU SANJO ANAFUNGA

Man U waliichungulia hii business opportunity na kuifanyia kazi.