Kazi ipo leo, link haifunguki kabisahesgoal kadindisha leo kisa Ronaldo nini
Nadhani hivyo, maana hata mimi mpira wa Crystal Palace V's Tottenham niliuangalia wote hadi mwisho nikiwa home kwa simu haikusumbua kabisa hadi Full Time, maajabu eti sasa hivi inakataa katakata kufungukahesgoal kadindisha leo kisa Ronaldo nini
Unataka acheze formation ipi ?Haya mambo yake ya 4-2-3-1 aachane nayo.
yes hata mimi nimeangalia huo mpira yani dah nakosa hii mechi maana nilipo haiwezekani bila streamNadhani hivyo, maana hata mimi mpira wa Crystal Palace V's Tottenham niliuangalia wote hadi mwisho nikiwa home kwa simu haikusumbua kabisa hadi Full Time, maajabu eti sasa hivi inakataa katakata kufunguka
Newcastle toka msimu uliopita walikuwa wanacheza hivyo hivyo.Sema naona watoto wameamza na beki 5 nyuma, wanajua kabisa wakifunguka wanacho
Nadhani hivyo, maana hata mimi mpira wa Crystal Palace V's Tottenham niliuangalia wote hadi mwisho nikiwa home kwa simu haikusumbua kabisa hadi Full Time, maajabu eti sasa hivi inakataa katakata kufunguka
Hatuwezi kwenda na 4-4-2 Diamond, 3-1-4-2!?Unataka acheze formation ipi ?
Wenda server zimelemewa kutokana na watu wanaotaka muona cr7Nadhani hivyo, maana hata mimi mpira wa Crystal Palace V's Tottenham niliuangalia wote hadi mwisho nikiwa home kwa simu haikusumbua kabisa hadi Full Time, maajabu eti sasa hivi inakataa katakata kufunguka
Ungekuta Martial anaangalia.Magoli kama haya ya rebound tumeyakosa sn msimu uliopita.