Mimi sio mbuzi ,mbuzi ni hiyo beberu mliyosajili et inakuja kuwapa makombe ,Msimu wa nne upi huo uliouhesabu wewe acha kua popoma kukisia mambo au usha uhesabu na huu msimu tiali we mbuzi




GOAT =MBUZIKuna games Kashindwa kuwafunga kina Benevento na AC Milan ya kina tomori ndo ututishe mkuu
The king is BACK home swwwt home. Safari hii mtashika adabu mpaka tubebe kombeView attachment 1932257View attachment 1932258View attachment 1932259View attachment 1932261

Subiri kichapo kinakujaKuna games Kashindwa kuwafunga kina Benevento na AC Milan ya kina tomori ndo ututishe mkuu![]()
Hivi ole anaelewa hisabati kweli? au karopoka tu "99 times out of 100"?Huku sasa kutishanaView attachment 1932081
Una hasira sana kaa kwanza ndiyo tuzungumze.Hivi ole anaelewa hisabati kweli? au karopoka tu "99 times out of 100"?
Maana kama mpaka kocha anaweza kuamua kutumia statistics za uongo kwa ajiri ya kusisitiza umuhimu wa huyu Jamaa maana yake timu yetu iko imekalia a very big exposure.
Ole ni mtu muongo, alipokuja alikuwa anasema attack attack attack, baadae mpaka hivi karibuni sana akaanza kusema anajenga kikosi, akimaanisha mashabiki tuwe wavumilifu kwa sababu yuko kimkakati kutengeneza a team ambayo itakapoanza kudeliver, it will be a long ride of success, japo hakuwahi kusema tuwe wavumilivu kwa muda gani, lakini ki ukweli hakuna alichokisema anakitekeleza.
Kwa Mfano, attach attach attach.
Timu yetu ina wachezaji 31.
Makipa 3, Viungo 9, Mabeki 12 na Maforward 7.
Ikimaanisha phylosophy yetu ni kukaba tofauti na maelezo yake.
Kujenga Team.
Ghafla, anamtegemea mchezaji mzee mwenye mkataba wa miaka miwili kuleta vikombe, Yaani hata mashabiki tu tulikuwa kwa mwaka huu tuko prepared kuwa title contenders, with a keen eye to seeing we are cutting the points difference between us and the title winners, yeye kumpata Ronaldo anaanza kuzungumzia ubingwa.
Kiufupi usajiri wa cavan na ronaldo ni uthibitisho anazungumzia kujenga team kwa lengo la kulinda mshahara wake tu.
Tatizo Lao game ya final ucl n kuanza hyo game bila holding midfielder Hata kama aguero angeanza hyo game ya UCL final wangelambwa Tu MzeeUna hasira sana kaa kwanza ndiyo tuzungumze.
Kumbe siku hizi timu ikiwa na mabeki wengi maana yake aina ya uchezaji wa hiyo timu ni kujilinda muda wote!
Ole alikuja kwenye hii timu akiwakuta wakina Jones, Dalot, Tuanzebe, Baily, Lindelof, Shaw. Hawa wote wengi siyo mahitaji ya Solskjaer na wengine baadhi hawauziki sokoni ulitegemea Ole afanye nini? Abaki na watu asiowahitaji, asinunue mabeki wapya kisa idadi itakuwa kubwa na kwa maana yako kuwa timu itakuwa ya kujilinda kama vile uwanjani wanaingia wote 12!
Lastly, Ole na mashabiki wote duniani wa Manchester United wanajua Ronaldo atakuwa chachu ya mafanikio yetu msimu huu kitu ambacho timu yetu ilikosa.
Rejea msimu Ajax wapo moto kwenye UCL walifika hatua ambayo ubora wao na uwezo wao kucheza havina msaada mbele ya kazi za wanaume. Last season Chelsea kabeba UCL kaangalie jinsi Silver alivyoleta kitu cha tofauti katika defense ya Chelsea, Man. City wangekuwa na yule Aguero wa miaka ile Chelsea alikuwa hatoki ila kazi waliachiwa wavulana na ikawashinda.
Last season 2020/21 tume-create big chances 55, tume-miss big chances 52, Ronaldo ana shoot on target per match 2.1. Unapata picha gani hapo?
Ronaldo kashazeeka ,wenzake wote aliocheza nao ni makocha now yeye Bado anahangaika tu na man utd .....
itoshe kusema mmesajiki mbuzi mzee,aliyezeeka ....
We have classic player KDB ,nyie mko na mbuzi inaitwa ronaldo ,tutakutana uwanjan tuwaoneshe how we do ....
Kuanza sidhani maana sentensi zake ni kama vile anaanzia bench, mzee hayupo direct kabisa.Nyie NYUMBU msimamizi wenu wa mazoezi OLE Sendeka amesema nn kuhusu Mnyama CR7. Vp kesho ataanza?
Kuanza sidhani maana sentensi zake ni kama vile anaanzia bench, mzee hayupo direct kabisa.
Picha la kutisha![]()
Wakuu nikiangalia hii picha kwa makini ni kama sosha anamwuliza ronado kama amrudishe na felaini au amtafutie mshambuliaji kama rick lambert wasaidiane mbele pale.
Naona ronado anajibu "walete wote wawili tupige kazi"







Ili jamaa ni man u me nawaambiaNyie NYUMBU msimamizi wenu wa mazoezi OLE Sendeka amesema nn kuhusu Mnyama CR7. Vp kesho ataanza?




Ili jamaa ni man u me nawaambia![]()