Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,218
Ni mchezaji ambaye ni proven kwao, hicho kiasi sio kibaya, man U inaonekana kama Timu inayo toa tu sadaka miaka na miaka watu wanajichukulia wachezaji kwa bei rahisi, ila Sasa hivi na sisi tuna watu wa soka, tumekomaa sana msimu huu, wachezaji wengi wameondoka kwa vile tunavyotaka sisi.Shida sio west ham shida ni sisi
Mchezaji ana 29 years na anamaliza mkataba utoe 25 mill
Ah hapana mzee huyo lingard ni mpuuzi akisign mkataba mpya man utd maana sijui anahisi atacheza wapi
Kuna mshikaji humu kasema inawezekana ole huwa anasimamia mazoezi ya viungo na utii peke yakeMashabiki wenzangu wa manchester, tujiepushe kuishi on denial mode. Timu yetu haina kocha, haichezi kwa kufuata maelekezo yoyote yale. yaani tunashinda na kudroo kwa sababu tunawachezaji wanaojielewa.
Mi nadhani kitu pekee alichonacho ole ni mamlaka ya kuamua huyu atacheza, huyu atakaa benchi, huyu atasafiri na timu nakadharka.Kuna mshikaji humu kasema inawezekana ole huwa anasimamia mazoezi ya viungo na utii peke yake
Timu isio na KochaMashabiki wenzangu wa manchester, tujiepushe kuishi on denial mode. Timu yetu haina kocha, haichezi kwa kufuata maelekezo yoyote yale. yaani tunashinda na kudroo kwa sababu tunawachezaji wanaojielewa.
Ole yuko vzr...mm nasubiria epl tu na nusu final ya uefaTimu isio na Kocha
-imemfunga pep mfululizo miaka 3 pale Etihad, mechi 5 zilizopita za league tumemfunga Man city Mara 4 kapata draw moja, pep huyu anaewaonea wengine kwenye league kwa Ole anakuwa kama mtoto tu, hata akiwa kwenye Form.
-Timu isio na Kocha ina record nzuri vs top 6, ukitoa Arsenal, kina Chelsea, Liverpool, spurs, Man city, leicester na timu zote kubwa Huwa tuna record nzuri against them
-even ulaya Mara 2 mfululizo against psg tulikuwa better team,
Ole Ameprove time to time Tactics zake kuwafunga vigogo, kwenye ligi tumetoka nafasi ya 6 mpaka ya 3, toka 3 mpaka 2, tumeanza nusu cup competitions msimu juzi, mpaka final msimu uliopita, kila eneo unaona improvements ndani na nje ya uwanja.
Eneo pekee ambalo tulikuwa na bado ni wabovu ni against low Block, timu zinazopaki basi, nazo pia tume improve msimu wa juzi tulistruggle sana msimu uliopita tukawa na uafadhali na hata msimu huu kuna hopes fulani, kushinda kwa kulazimisha mfano mechi iliopita.
Na Tukiwa na wachezaji caliber ya Ronaldo na Cavani ni rahisi kushinda against low Block hasa vile walivyo wazuri kwa mpira ya kichwa.
Uko vizuri kwa statistics mkuu haya tusubiri mwisho wa msimu.Timu isio na Kocha

msimu huu tunachukua point 80+ hizo ndio Target zangu kwa ole kuwa successful, serious challenge kwa ubingwa ama kuubeba kabisa.Uko vizuri kwa statistics mkuu haya tusubiri mwisho wa msimu.
Labda kama watabadili uchezaji ila kwa tulivyoanza hizo point ni ndoto. Halafu sitegemei kwa hiki kikosi tusibebe hata carabao itakua ajabu na kweli.msimu huu tunachukua point 80+ hizo ndio Target zangu kwa ole kuwa successful, serious challenge kwa ubingwa ama kuubeba kabisa.
If Mbape is £160 milion worth, then Greenwood is worth £ 250 milion
Timu isio na Kocha
-imemfunga pep mfululizo miaka 3 pale Etihad, mechi 5 zilizopita za league tumemfunga Man city Mara 4 kapata draw moja, pep huyu anaewaonea wengine kwenye league kwa Ole anakuwa kama mtoto tu, hata akiwa kwenye Form.
-Timu isio na Kocha ina record nzuri vs top 6, ukitoa Arsenal, kina Chelsea, Liverpool, spurs, Man city, leicester na timu zote kubwa Huwa tuna record nzuri against them
-even ulaya Mara 2 mfululizo against psg tulikuwa better team,
Ole Ameprove time to time Tactics zake kuwafunga vigogo, kwenye ligi tumetoka nafasi ya 6 mpaka ya 3, toka 3 mpaka 2, tumeanza nusu cup competitions msimu juzi, mpaka final msimu uliopita, kila eneo unaona improvements ndani na nje ya uwanja.
Eneo pekee ambalo tulikuwa na bado ni wabovu ni against low Block, timu zinazopaki basi, nazo pia tume improve msimu wa juzi tulistruggle sana msimu uliopita tukawa na uafadhali na hata msimu huu kuna hopes fulani, kushinda kwa kulazimisha mfano mechi iliopita.
Na Tukiwa na wachezaji caliber ya Ronaldo na Cavani ni rahisi kushinda against low Block hasa vile walivyo wazuri kwa mpira ya kichwa.
Tungekua na pre season nzuri msimu uliopita hizo points tungezipata.Labda kama watabadili uchezaji ila kwa tulivyoanza hizo point ni ndoto. Halafu sitegemei kwa hiki kikosi tusibebe hata carabao itakua ajabu na kweli.
Sikh hizi mnajivunia kuzifunga man city ,Liverpool ,Chelsea ,..Timu isio na Kocha
-imemfunga pep mfululizo miaka 3 pale Etihad, mechi 5 zilizopita za league tumemfunga Man city Mara 4 kapata draw moja, pep huyu anaewaonea wengine kwenye league kwa Ole anakuwa kama mtoto tu, hata akiwa kwenye Form.
-Timu isio na Kocha ina record nzuri vs top 6, ukitoa Arsenal, kina Chelsea, Liverpool, spurs, Man city, leicester na timu zote kubwa Huwa tuna record nzuri against them
-even ulaya Mara 2 mfululizo against psg tulikuwa better team,
Ole Ameprove time to time Tactics zake kuwafunga vigogo, kwenye ligi tumetoka nafasi ya 6 mpaka ya 3, toka 3 mpaka 2, tumeanza nusu cup competitions msimu juzi, mpaka final msimu uliopita, kila eneo unaona improvements ndani na nje ya uwanja.
Eneo pekee ambalo tulikuwa na bado ni wabovu ni against low Block, timu zinazopaki basi, nazo pia tume improve msimu wa juzi tulistruggle sana msimu uliopita tukawa na uafadhali na hata msimu huu kuna hopes fulani, kushinda kwa kulazimisha mfano mechi iliopita.
Na Tukiwa na wachezaji caliber ya Ronaldo na Cavani ni rahisi kushinda against low Block hasa vile walivyo wazuri kwa mpira ya kichwa.
Ole ana misimu miwili full, na huu wa tatu.Sikh hizi mnajivunia kuzifunga man city ,Liverpool ,Chelsea ,..
Kumbe ndio mafanikio yenuu,Villarreal kuwabamiza final Europa kumbe hakubahatisha,nyie lengo lenu ni kumfunga tu pep [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ,.....
Ndio maana 4 season consecutively without trophy ole bado anadunda ...