LordMasele III
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 296
- 261
Man United ni utopolo ever🤣🤣🤣
Wolves wanacheza jinsi tulivyopaswa kucheza sisi. Wolves hawakabi kwa macho, kitu wanakosa ni umakini kule mbele tu. Pia sisi defensively leo tumeonyesha kiwango kizuri. Varane mzee wa kazi ndiyo kitu tulihitaji.
Fred hakuna kitu anafanya, hafanyi kazi yake ipasavyo dimba la kati.
James ni yuleyule, atapata chance nzuri mara ghafla anakuwa kama hana macho.
Kwa ukosefu wa Scott ni heri Ole angeanza na VDB badala ya Pogba, Sancho kulia na Martial kushoto.
Kwasasa Cavani aingie, James atoke.
Mpaka watakapokufunga utajua mpira huujuiMan United ni utopolo ever![]()
Acha tuone wewe unajua mpira na man United yako mbovuMpaka watakapokufunga utajua mpira huujui
Sancho siyo mbovu kiasi hicho cha kumlinganisha na Traore, hii ndiyo game yake ya kwanza anaanza kikosi cha kwanza, hii mechi ukiambiwa ufanye scouting ya mchezaji wa kumnunua hata Bruno utamkataa.Traore by afar better than Sancho
Traore was in the market for a half that costed Manutd to buy Sancho.
Who is dumb the manager or the scout team or both?





huyu dogo atakuja kuwa hatari kama Van PersieHuyu mtoto Greenwood ni motooo
Sasa Lewandowski kasema anataka kuondoka lini na Sancho kanunuliwa lini?Tatizo lako ni upeo kwa hiyo huwezi kudadavua.
Tatizo la Manutd ni kocha hajui kupanga timu au kununua wachezaji.
Badala ya kumchezesha Sancho hiyo nafasi angemchezesha Pogba na nafasi ya Pogba angelimchezesha Matic.
Badala ya kumnunua Sancho angelimnunua Lewandowski ambaye anatafuta new challenge
Hawa ndo wakuwapa nafasi..vipuuzi kama akina Martial na James ni vyakupeleka vikacheze farmers league ya Ufaransa.Huyu mtoto Greenwood ni motooo
Tupeni matokeo ya mwisho basi ngapingapiHawa ndo wakuwapa nafasi..vipuuzi kama akina Martial na James ni vyakupeleka vikacheze farmers league ya Ufaransa.
Wale wamebakishwa kwa ajili ya mashindano mengine. Mashindano yapo mengi sana so tunahitaji Depth mkuu.Hawa ndo wakuwapa nafasi..vipuuzi kama akina Martial na James ni vyakupeleka vikacheze farmers league ya Ufaransa.
Nilimwambia PTER huu mwaka wa Greenwood.Huyu mtoto Greenwood ni motooo
Ndege njema huonekana asubuhi. Huyu ni flopSancho siyo mbovu kiasi hicho cha kumlinganisha na Traore, hii ndiyo game yake ya kwanza anaanza kikosi cha kwanza, hii mechi ukiambiwa ufanye scouting ya mchezaji wa kumnunua hata Bruno utamkataa.
Tumekutana na tough opponent, dogo bado haja-settle, slowly atakaa poa.
Depth gani banaaa..Wale wamebakishwa kwa ajili ya mashindano mengine. Mashindano yapo mengi sana so tunahitaji Depth mkuu.