Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mechi iliyopita niliona jinsi tulivyowapa advantage Southampton ya kucheza slow sana kiasi kwamba wakawa hawana shida kabisa jinsi ya kutukaba.
Lakini nilikuwa nikiangalia Matic alivyokuwa slow nashangaa how comes mtu kama yule anaanza mechi muhimu ya ligi as if tuna injury kwenye midfield
 
Hivi Manchester United bado inawahitaji hawa watu?
1. Nemanja Matic
2. Juan Mata
3. Lee Grant
4. Jesse Lingard
5. Phil Jones
6. Anthony Martial
7. Tom Heaton
Huyo lingard ni mpuuzi sana
Akakae west ham wanamuhitaji mno
9 goals in 16 matches afu anakimbilia benchi m.u
Huyo mata ndo nashangaaa kumbe yupo mpaka leo
Lee grant simjui hata



Afu AWB na cross zake ni utopolo wa dunia
Aanze dallot sometimes basi

L.F.C tayari huko washaanza kelele za elliot sijui na tsimikas
Naskia wanakichafua balaaa yote hii ni kuamini watu wacheze mpira

Liverpool ndo hvo mdo mdo wanamrelease bobby9 kwenye mipango

Angekua ole na kile kiwango cha bobby sijuiiii kama angemwacha leo wala kesho
 
OGS should have some guts and drop 1 defensive midfielder. We have to be creative and attacking. Play your best players

We have the best players but you keep delaying to the formation that doesn't work for you consistently.

This line up for next match please.View attachment 1906021
4-3-3 that's wht iam talking about..
 
habari za jioni waungwana munaopatikana humu ndani, aliyeelewa anielewesha hii tweet
1629894659968.png
 
twitter nimefollow account nyingi sana kupitia sekta tofauti zikiwemo michezo, siasa, teknoloji, history n.k
ila moja kati ya account inayonivutia sana ni ya huyu mwanadada anayeitwa Maram AlBaharna, ni mshabiki wa manchester united kama mimi, amehitimu Economics and Management Student at London School of Economics,ana silaha nyengine muhimu ambayo mimi sina nayo ni data analyst (hii elimu imenivutia sana ila sijawa tayari kujifunza)

....jinsi anavyofanya analysis za wachezaji na kiuchezaji kwa timu husika hususani man utd hunifanya nijiulize mara mbili mbili.
je mimi naangalia mpira au napoteza muda kwenye tv?

baada ya kumalizika mechi ya southampton amekuja na bandiko litakalofuata nitakalolishusha kidogo kidogo kwa lugha ya kiengereza, sitoweza kuliweka kwa lugha ya kiswahili kwa kuhofia kuliharibu kimaana.
kwa muda mrefu humu ndani tumekuwa na mijadala yenye kujirejea mara kwa mara, mara tatizo ni beki, mara tatizo ni DM, mara tatizo ni winga na blah blah nyenginezo.

je tatizo letu kubwa ni lipi.
nifuatilie kidogo kidogo
fuentte mtafute huyo dada hapo twitter hutojutia
 
TACTICAL CAM: Manchester United’s subpar draw against Southampton was more than just poor player performances. It was the entire team —
let me explain why.
Passing Networks: a thread.

Manchester United’s structure in possession saw them feature NO strong exchanges between the midfield or forward line. Why?
Forwards struggled to see the ball, #MUFC struggled to get it out of their own half. Let’s go in more detail.
1629895781744.png

iangalieni hii graph yenye kuonyesha usambazwaji wa pasi kwa umakini
 
Football isn’t just about scoring. I mean, yes — fundamentally it is, but it’s more so about increasing the probability of scoring. The way to do that is very straightforward: get the ball forwards.

#MUFC struggled in the fundamentals as a team & individual players.
 
The issue begins with United’s buildup structure. David De Gea’s lack of general involvement and ball playing means #MUFC have one less player.

His passes even often put players in trouble rather than safe ones by passing to those blind to pressing markers behind them i.e Maguire, Fred.
1629896086290.png
 
Manchester United’s strongest exchange came in the form of sideways passing between Maguire & Lindelof!
Structure is all about giving players multiple passing options to move the ball.
United’s backline didn’t have any. #SOU closed down the preferred left and midfield.
1629896174351.png
 
The very common stick we beat United with is it’s right flank — that’s for good reason. AWB had poor connections with every player expect passing back to Lindelof, he wasn’t found in good positions because he didn’t occupy them. More so, he couldn’t progress infield or forwards.
1629896794841.png
 
I actually have no clips of Martial, that’s how isolated he was. He had NO (NO!) connections with Bruno. He failed to make runs into the backline, or even drop deeper to hold up and drifted to the left that made #MUFC easy to defend against & gave them no outlet to pass to.
1629897001190.png
 
Back
Top Bottom