Dah! Vida na Evans huwa wanasimama poa sana huyu Phil Jihns huwa anajichanganya wakati mwingine na tayari ana kadi
Kabisa...inabidi Vida asiwe serious..Jones na Evans hawako sawa pamoja...
Sijajua sababu za Moyes kumtoa Vida na kumleta uwanjani Cleverly.