Nadhani sasa David Moyes anaona matunda ya kumchezesha Kagawa, timu inacheza vizuri sana ikiwa imebalance kwenye flanks zote.
Achana naye huyo Mentor, alishaona wapi Shetani (MAN U) akiuliwa kwa Bunduki (The Gunners) hata siku moja?
Wateja wakudumu hawa arsenal