Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,667
We mwenyewe unajua mziki wa chelsea kwa sasa, endelea kujipa matumaini hewa
Una pointi zetu sita wewe na vile vi udagaa dagaa vyako!
Una pointi zetu sita wewe na vile vi udagaa dagaa vyako!
Team ina jezi kama wanafuziMan City hali tete huko Mwaisa
Hapo namba 1 hadi 3 ,ndivyo jinsi ambavyo msimu utaisha.Kuanzia 4 hadi mwisho kutakuwa na mabadiliko makubwa.Tunaongoza ligi mechi day oneView attachment 1893529
Hii game week 1 Tu Mzee Acha kujipa mahopesManchester United ni mabingwa mwaka huu baada ya kuona mabingwa wazamani wachovu hakuna maelezo View attachment 1893526

Utajikataa subiri hii ndo Kwanza mechi ya kwanza bado Manchester city wanaasilimia nyingi ya kuchukua ubingwa kuliko man united.all in all sioni wa kuizuia Chelsea msimu huu.Manchester United ni mabingwa mwaka huu baada ya kuona mabingwa wazamani wachovu hakuna maelezo View attachment 1893526
Liverpool hawezi kudumu hapo.Hapo namba 1 hadi 3 ,ndivyo jinsi ambavyo msimu utaisha.Kuanzia 4 hadi mwisho kutakuwa na mabadiliko makubwa.
Mwaka wetu huu, wakutembea kifua mbele, kama tumepigwa ngumi ya mgongo.Tunaongoza ligi mechi day oneView attachment 1893529
Hahaha kuna watu waliwahi kutoa maoni hapa tumnunue. Sina imani kabisa na pesa inayowekwa kumnunua mchezaji wa kiingereza (ni sawa na mtu anayenunua choo cha dhahabu). Can you imagine Grealish ana thamani kubwa kuliko Bruno?£100M for Grealish.
Sawa, nyiye Rentboys ndiyo mabingwa msimu huu.Tofauti ya Chelsea na Manchester United ni kwamba Chelsea tuna kocha bora.mna kikosi kizuri but Chelsea tuna kikosi kizuri zaidi kila eneo tupo vizuri.
Mmeng'ang'ania grealish mnataka acheze mnavyotaka kama kwenye PS ,tutaliona lilepipa la €115 million pale ChelseaGraeme Souness:
“For me, the star of the show was Greenwood... [Pogba assisting 4 goals] We expect that from a £100 million man.”
mkuu kwani kuna mshabiki mwenye wasiwasi na uwezo wa jack grealish?Mmeng'ang'ania grealish mnataka acheze mnavyotaka kama kwenye PS ,tutaliona lilepipa la €115 million pale Chelsea