Hatuna kikosi cha kubeba kombe.Ball possession bado sana kwa kubeba kombe loloteView attachment 1892035
jipige mara 3 kifuani sema "mimi ni boya"Amken amken NYUMBU ninyi Mlikua mumeshajisahau kuwa timu lenu ni tia maji tia maji.
Tulia wewe kenge wa bluejipige mara 3 kifuani sema "mimi ni boya"

Tumeamka, njoo utandike wifeAmken amken NYUMBU ninyi Mlikua mumeshajisahau kuwa timu lenu ni tia maji tia maji.
unajisikiaje ukiona tumeshapiga goli 4 mpk sasa..Tulia wewe kenge wa blue![]()
Hamia Arsenal kwenye kocha mzuriKarudi tena na mfumo Wa double DM.
Taarifa kwa vyombo vya habari.
Kocha hatuna man u
Mkuu uwe unafuatilia taarifa za timu siyo unakimbia kutoa lawama tu.Lingard hata bechi hayupo hapo Rashford na Cavani hawajafika. Huyu dogo angeuzwa tu. Tunaua talent yake.
Katoa assist tano sasa bado unasema anakimbia tu ?James bado hajui anachokifanya anakimbia tu, Pogba nae mambo mengi sana anapoteza mipira ingawa katoa assist kali sana.
Mechi nzuri battle ya midfield refa kaacha wauwane inapendeza.
Taarifa zipi nisaidie. Uelewa wangu ni kuwa Rashford akiwa fit na Cavani yupo, Lingard hawezi kupata nafasi. Kama OGS ameamua kumuacha nje Martial na Sacho ilikuwa chance kwa Lingard.Mkuu uwe unafuatilia taarifa za timu siyo unakimbia kutoa lawama tu.
Ukwl lazima usemwe MKUU,,msimu uliopita tuli drop Point kizembe sana ,tukazinduka mwisho baada ya kuja cavani.Hamia Arsenal kwenye kocha mzuri
dogo tulia tumnyoe mtu vuz* hukuMnashinda mengi ila goal la 4 ni offside