Vizuri sana.hao wote DM, CDM,
CM na CAM ..
wote ni mediflders..
Centre Defense Mediflder (CDM) na
Defense Mediflder(DM).
hawa ni kitu kimoja.
Wote ni viungo wakabaji.
Labda hyo CDM na DM ndy imekubabaisha.
Ila ni kitu kimoja.
Centre Mediflder... huyu anasimama kama kiungo bila kujali mkabaji au attacking. CM.
Centre Attacking Mediflder ( CAM) huyu ni kiungo mshambuliaji.
Lakini kiutaalam wote wanaitwa CENTRE MEDIFLDERS.(CM..)
sasa box to box ni huyo CDM.
ambaye anacheza kulinda zaidi.
Na unapotetea hoja zako punguza povu mkuu..
Hapa tunaeleweshana kumbuka huwezi kujuwa kila kitu.
Nimefatilia sana ubishani wenu, Kuna aina 4 aa midfielders
1. Attacking midfielder (CAM)
2. Defensive midfielder (DM) au (CDM)
3. Holding midfielder
4. Box to box midfielder
Hiyo namba moja naona wote mnaelewa majukumu yake, ila bado hamjaelewa vzur majukumu ya hao hao kuanzia namba 2 mpka 4,
2.CDM( huyu ni aina ya kiungo wa kati ambaye anakuwa na majukumu ya kukaba zaid, na kulinda safu yake ya Mabek isishambuliwe, hawa ni viungo waliokamilika yaan anakaba na kuchezesha Timu tokea chini (ila wenye uwezo wa kutimiza majukumu haya kwa pamoja naona wameshapungua sana kweny kizazi hiki mfano wake ni Matic, Bosquet, Fernandinho, na Rodri)
3. Baada ya watu wenye uwezo wa kutimiza majukumu yote mawili yaan kukaba na kuchezesha tokea chin (CDM) kuwa adimu sana basi ndio tukaanza kushuhudia aina nyingine ya viungo ambao hawa tunawaita Holding midfielders (wengine ndio wanawaita Deep lying playmaker) sasa hawa ni aina ya viungo wamejaliwa ufundi sana wa kupiga pasi (Vision) na wanajua kujiposition ila sio wazur sana kweny kukaba, basi huwa wanachezeshwa kwa chini ili wa control mchezo yaan wawe wanachezesha Timu tokea chini, kuunganisha safu ya ulinzi midfield na ushambuliaji, na hawa wakicheza mara nyingi huwa wanahitaj midfield mwingine atakayekuwa anapanda na kushuka yaan anakuja kumsupport kweny kukaba, halaf Timu ikishambalia basi huyu Dm anabak nyuma mwenyew mfano ni Jorginho na Thiago alcantara,
4 Box to Box midfield sasa huyu ndio aina ya midfield ambaye anakuwa yupo vizur kweny kushambulia zaid ila anaweza kukusaidia kukaba pia, kwa hyo anakuwa na majukumu ya kupanda na kushuka, yaan kama Timu ikishambulia basi na yeye anapanda, Timu ikishambuliwa anashuka kumsaidia kiungo mkabaji, sasa siku hizi hawa viungo ndio wamekuwa wengi sana na ndio mchezo wa kisasa unavyowahitaj wawe mfano pale Man u ni Mctominay na Fred , au hata Vidal au Toni kroos na modric, hata Kante pia ni box to box midfield hata Kovacic pia, Pogba pia (ila anapenda sana kushambulia)
Sasa sio ajabu kukuta Timu haina Holding midfielder au CDM inampa majukumu Box to box midfield aifanye kaz ya hao watu hapo juu, ndio Mctominay na fred wanapocheza ile Double pivot yaan wanakuwa wawili ila kama angepatikana Holding midfielder mzur basi hapo angehitajika mmoja tu ndio acheze, sasa Man u tunahitaj mtu wa kazi aje pale acheze kama CDM au Holding midfield mimi namkubali sana Locateli yupo vizur kwenye hilo eneo