Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,005
- 7,383
Ni heri hata unapata huo wasiwasi maana timu yako hata kucheza na PAOK imeshindwa kufuzu.Wasiwasi wangu Uefa ni PSG vs nyumbu
Ni heri hata unapata huo wasiwasi maana timu yako hata kucheza na PAOK imeshindwa kufuzu.Wasiwasi wangu Uefa ni PSG vs nyumbu

Imeanza jana usiku kwa Arsenal kula kichapo kikali.EPL INAANZA SAA LEO 14:30![]()
Ule ulikuwa ufunguzi ni kama zile show kabla ya finallyImeanza jana usiku kwa Arsenal kula kichapo kikali.
😀😀😆😆👍Ule ulikuwa ufunguzi ni kama zile show kabla ya finally