Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu unaubishi wa kitoto sana na unaokera sana sometimes.

Kunatofauti kubwa sana kimajukumu kati ya DM/CDM, CM na CAM.

Unajua nini maana ya kiungo mkabaji ?

Unajua nini maana ya kiungo wa mchezeshaji ?

Unajua nini maana ya Kiungo Mshambuliaji?
Usikeleke!! Mbona km hoja zenu wote zinafanana? Yeye anajaribu kueleza kuwa hao wote ni viungo wa kati (Central Midfileders). Kinachowatofautisha ni roles & positions wawapo dimba.
 
Messi ndio tumeshindwa kumsajili kweli???

Sosha akifukuzwa utamsikia tu nilitaka kumsajili messi bodi ikakataa
 
My Starting XI vs Leeds

======

De Gea

AWB Lindelof Maguire Shaw

Matic Fred

Greenwood Fernandes James

Martial

=======

Fitness issues concerned..hicho ndo nahisi kitakuwa kikosi chetu jumamosi.

3points ni muhimu,tusianze kama last year tulivyochezea OT dhidi ya Crystal Palace.
 
Mkuu unaubishi wa kitoto sana na unaokera sana sometimes.

Kunatofauti kubwa sana kimajukumu kati ya DM/CDM, CM na CAM.

Unajua nini maana ya kiungo mkabaji ?

Unajua nini maana ya kiungo wa mchezeshaji ?

Unajua nini maana ya Kiungo Mshambuliaji?
Vizuri sana.hao wote DM, CDM,
CM na CAM ..

wote ni mediflders..
Centre Defense Mediflder (CDM) na
Defense Mediflder(DM).
hawa ni kitu kimoja.
Wote ni viungo wakabaji.
Labda hyo CDM na DM ndy imekubabaisha.
Ila ni kitu kimoja.

Centre Mediflder... huyu anasimama kama kiungo bila kujali mkabaji au attacking. CM.

Centre Attacking Mediflder ( CAM) huyu ni kiungo mshambuliaji.

Lakini kiutaalam wote wanaitwa CENTRE MEDIFLDERS.(CM..)

sasa box to box ni huyo CDM.
ambaye anacheza kulinda zaidi.
Na unapotetea hoja zako punguza povu mkuu..

Hapa tunaeleweshana kumbuka huwezi kujuwa kila kitu.
 
Piga kelele kwa Ole
Guna
Screenshot_20210812-012941_Samsung Internet.jpg
 
Sosha sijui atatubeba na mbeleko gani mwaka huu asipochukua hata FA sijui kwakweli.. Dharau za chelsea zimezidi mimi sio wa kupigiwa simu saa saba usiku na kuletewa carton ya mo extra kisa wamebeba kombe aaah.
 
1628773049964.png

Atalanta walitupiga na kitu kizito kwenye hili dili, mchezaji wa paundi millioni 30 anatolewa kwa mkopo.
wengi wao watakuja kunipinga, najua watakapojifichia.
dogo ana kipaji
 
My Starting XI vs Leeds

======

De Gea

AWB Lindelof Maguire Shaw

Matic Fred

Greenwood Fernandes James

Martial

=======

Fitness issues concerned..hicho ndo nahisi kitakuwa kikosi chetu jumamosi.

3points ni muhimu,tusianze kama last year tulivyochezea OT dhidi ya Crystal Palace.
Rashford hayupo kwa miezi mitatu mfululizo am worried
 
Wa kuleta kitu tofauti pale United,

Kama tuliamini Cavani kwa umri wake anaweza kutusaidia (na anatusaidia kweli)

Kwanini isiwe La Purga, nina imani angekuwepo Banker na Mchumi Ed angefanya dili litokee ...

Ukiacha mpira/mataji, Messi is money brother
 
Tutulie tujenge kikosi cha muda mrefu akitoka Cavani tumsajili Patrick Schick
 
Back
Top Bottom