mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,694
- 19,545
Msimu huu man u kuingia top 6 ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindanoUzuri wake msimamia mazoezi anamaliza nafasi za juu kwenye ligi kushinda makocha. [emoji879]
Sasa kumbe akikaza msimu huu anaweza kuwa bingwa, ligi si haina fainali. [emoji23]
4, 3, 2,.....[emoji102]