Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Financial doppers Manchester City must be deducted 30 points for unfair sportsmanship
PSX_20210725_203206.jpg
 
Ole lzm tumuamini, we're always united....nasubiri CB, DM next ntachukua kombe : varane in, camavinga or neves in
Position ya DM ni Rice tu basi, anaweza kucheza karibu kila mfumo, ataturuhusu kutumia 433 bila wasiwasi. Neves ni mzuri ila siyo kucheza kama lone DM, huyo Camavinga siyo typical DM halafu akija anabidi alelewe tena huo muda hatuna, hatuhitaji tena msimu mmoja au miwili ili DM akomae zaidi tunahitaji mchezaji wa kuja kuingia kikosi cha kwanza moja kwa moja. Rice ni option nzuri since anaweza kucheza kama CB pia.
 
Back line

Shaw magwaya Varane Bisaka


Msimu huu hamtakua tofauti na mwanamke malaya
 
Back line

Shaw magwaya Varane Bisaka


Msimu huu hamtakua tofauti na mwanamke malaya
Hivi hiyo backline utaifananisha na hii Tierney ben white holding bellerin??

Kuanzia mchezaji mmoja mmoja hadi backline nzima hamfikii hata robo
 
Back
Top Bottom