mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,694
- 19,545
Msimu uliopita dawa haijakutoshaHivi hiyo backline utaifananisha na hii Tierney ben white holding bellerin??
Kuanzia mchezaji mmoja mmoja hadi backline nzima hamfikii hata robo
Msimu huu points 6 za uhakika nachukulia kwako