Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,083
- 12,326
Hurudii, ukirudia we ni jeuriDuuh kumamske sosha kaloga
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hurudii, ukirudia we ni jeuriDuuh kumamske sosha kaloga
Kubwa jinga kwenye ubora wako.Mitano tena [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1866380
Mazoezi hayo.QPR 4 -1 Manchester United
hii inathibitisha Ole will never win anything with Manutd
Mazoezi hayo.
Kubwa jinga kwenye ubora wako.
QPR 4 - MAN UTD 1
dakika ya 58
==========
brandon williams anacheza manchester,
mwalimu ananiangusha kwa sababu ya mpira mwepesi anaofundisha (tunatabirika)Rafiki yangu huna timu bali una kikundi cha wahuni
mwalimu ananiangusha kwa sababu ya mpira mwepesi anaofundisha (tunatabirika)
ni kwa sababu ana uwezo wa kutupa furaha ya ushindi japo kwa simple football anayochezaSasa kwann umemuongeza mkataba?
Masihara ndio ukimbilie kung'ata!We sema mazoezi wakati wenzako wako serious ata kwenye mazoezi ili kujua wapi warekebishe
ni kwa sababu ana uwezo wa kutupa furaha ya ushindi japo kwa simple football anayocheza
Kwa taarifa yako, boya ndio mjanja sasa, kwasababu boya kwenye maji anaelea, na kukuacha wewe usie boya ukizama.Timu la kiboya sana hili
Kwa taarifa yako, boya ndio mjanja sasa, kwasababu boya kwenye maji anaelea, na kukuacha wewe usie boya ukizama.
Hahahaha poa poa ngoja nitarudisha.Ungebaki na ID yako ile ya kijanja, hii ya sasa imekua kama mchuzi wa mbwa iliyo poa.
Wape hi wauni wa unga limited.