Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu ya kifala sana ,sasa sancho anamaajabu gani ?

Game tu ya kwanza na Leeds united mtakula kipigo cha mbwa koko kudadekiiiiii
Umeanza kufatilia mpira juzi, hujui chochote kuhusu mpira unajiita city fan, mpira city wameanza ucheza 2012, hatuwezi bishana nawewe batamaji, umejulia mpira uzeeni unaona kila kitu unajua na lugha za dada zako hapo nyumbani unazileta kwa wanaume kenge wewe.....

hebu tutajie legend wa timu yenu ni nani, kama hujataja aguero shenzi, haujui hata golikipa wa city wa 2008, unaleta ujinga wa kumjua Sancho,

na hata sancho akiflop wewe inakuumiza nini?
 
Haka kabwana mdogo ni kapumbavu to be precise.

Kana ushabiki wa kishamba sana
 
Umeanza kufatilia mpira juzi, hujui chochote kuhusu mpira unajiita city fan, mpira city wameanza ucheza 2012, hatuwezi bishana nawewe batamaji, umejulia mpira uzeeni unaona kila kitu unajua na lugha za dada zako hapo nyumbani unazileta kwa wanaume kenge wewe.....

hebu tutajie legend wa timu yenu ni nani, kama hujataja aguero shenzi, haujui hata golikipa wa city wa 2008, unaleta ujinga wa kumjua Sancho,

na hata sancho akiflop wewe inakuumiza nini?
We we mbwa goli kipa wa man utd 2002 alikuwa nani ..

Jibu saizi kabla hujagoogle takataka wewe ,kabla sijakupachika ukuni kwa nyuma
 
Ze Dudu "Bado hajafukuzwa 2"😂😂😂
Screenshot_20210724-132736_FotMob.jpg

Screenshot_20210724-132736_FotMob.jpg
 
Umeanza kufatilia mpira juzi, hujui chochote kuhusu mpira unajiita city fan, mpira city wameanza ucheza 2012, hatuwezi bishana nawewe batamaji, umejulia mpira uzeeni unaona kila kitu unajua na lugha za dada zako hapo nyumbani unazileta kwa wanaume kenge wewe.....

hebu tutajie legend wa timu yenu ni nani, kama hujataja aguero shenzi, haujui hata golikipa wa city wa 2008, unaleta ujinga wa kumjua Sancho,

na hata sancho akiflop wewe inakuumiza nini?
Hunipangii kunguni wewe, ..

Hii timu ya kipimbi tu haina tofauti na singida utd ,..

Yaani man utd in takataka tu ..

Msimu mwingine bila kikombe unakuja ,kudadekiii ...

Man city fans na hakuna wakunifanya
 
Wewe ndio unawapanda kichwani, wapo kwenye uzi wao kumbuka, hivyo wana uhuru wa kuandika chochote kile wapendacho kuhusu timu yao ( yetu).
Jf ni ya kwenu ,humu ndani mnapangia watu wa kufungua Uzi eeh

Jf for life ,nafungua nyuzi zotee ,
 
Ole Gunnar Solskjaer has signed a new contract with Manchester United. Agreement reached until June 2024. #MUFC

Solskjaer and Man Utd also included an option to extend the agreement until June 2025, official statement confirms. #Solskjaer

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Nashangaa sana mashabiki team pinzani inawauma sana Ole ku renew contract pale OT... Nina uhakika Bodi ya Team kuna kitu imekiona kutoka kwake.
Jamaa amejaribu kuirejesha man u mahali ilipostahili kuwepo... ups and downs ndio sehemu ya mpira
.
.jurgen Klop wakati anafika liverpool alisubiri misimu takribani mi 3 kama sio minne mpka anakuja kunyanyua taji la EPL na UCL (Liverpool walimvumilia haliakua katika kipindi iko naye alipoteza Fainali ya Europa League)
.
.ko naeza kusema tuwe wavumilivu Msimu huu nyote ni mashahidi tulikua kwenye Mbio kabsa za kubeba taji la ligi kuu. Lakin tukaanza kuyumba mwishoni kwa makosa madogo madogo ikiwemo (Set pcs au mipira ilipkufa) na kupelekea kupoteza au ku draw match ambzo tu listahili ushindi
 
Pamoja na yote Ole asipodeliver kwakweli msimu huu yale tunayo expect atimuliwe tu

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na yote Ole asipodeliver kwakweli msimu huu yale tunayo expect atimuliwe tu

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Nina imani msimu huu ni wa neema kwetu united. Mataji +2 ... endapo tukiimarika katika haya

1. Kucheza mipira iliyokufa kwa Accuracy zaidi aidha (defence & offense)

2. Kuimarisha Beki ya kati (CB)

3. Wan Bissaka aimarike Katika Mpira wa kisasa zaidi yaani Ki Mashambulizi zaidi

4. Wachezaji waongeze workrate yao haswa Rashford na Martial. Workrate inayohitajika ni kama ya CAVANI
 
Back
Top Bottom