Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyie hata mmusajili Ronaldo ,kwa kocha fala kama ole hamwezi kuchukua hata sahani ....

Ole ni empty headed ,hajui lolote kuhusu mpira ,ni zero brain kabisa
 
Nyie hata mmusajili Ronaldo ,kwa kocha fala kama ole hamwezi kuchukua hata sahani ....

Ole ni empty headed ,hajui lolote kuhusu mpira ,ni zero brain kabisa
Na vile hamuipendi United, mtamuimba Ole kwa kila lugha. WE MOVE!

Mlugaluga mmoja unasema Ole hajui lolote kuhusu mpira!

“You have to feel, this is their year. Is this their moment? Beckham into Sheringham … and Solskjaer has won it! Manchester United have reached the Promised Land! Ole Solskjaer! The two substitutes have scored the two goals in stoppage time, and the Treble looms large.”

Bloody fool!
 
Ole hana mbinu!!, anaongea hivyo myu ambaye hata team ya darasa hakuwahi fundisha.
Tushakuwa na makocha wa mbinu zote, Van gaal( kumiliki mpira), mpaka kuzuia ( Mou) hakuna cha maana tulichoambulia.
Ole hana mbinu? anawezaje kushinda mechi kubwa bila mbinu.
Niambie Ole hana mbinu zinazonifurahisha, au Ole hana mbinu za kufanya team icheze kama navyotamani, hapo utaeleweka.
Mpira anaojaribu kuufundisha Ole ( kama ukifanikiwa) ndio uliotufanya wote tuipende Man U ( tokea enzi za fergie man U ina style yake ya kiuchezaji) .
Ukitaka mpira kama wa Man city kamwe hutoupata Man U narudia kamwe, ko ni bora ukakubaliana na hali tu.
 
Varane tumepigwa..
Sachonka tumepigwa..
Kwa ufupi hii timu tumepigwa.

Skieni sasa ..tunawapa bakayoko, zapacosta na Drinkwater mnatupa Pogba+ cash kama million 20£.

Hii itakuwa hesabu nzuri sana kwenu. Itakuwa ni win win situation..
 
Huu uzi wetu siku hizi unavamiwa na hawa wajinga wajinga wa Arsenal, chelsea na Man city inaboa sana kusoma comments zao.

Tuacheni kuwajibu hawa wapuuzi tunawapa nguvu ya kuendelea kuharisha humu ndani.
Mimi naanza rasmi kuwalima block..wapuuzi kabisa.
 
𝗕𝗼𝗻𝘀𝗼𝗶𝗿, 𝗥𝗲𝗱𝘀

We have agreed a deal in principle for the transfer of @RaphaelVarane to United!

#MUFC
Finally the agreement is announced
Screenshot_2021-07-27-21-14-21-692_com.instagram.android.jpg
 
Nilichogundua Varane ana UEFA CL, CLUB WC na UEFA SC nyingi kuliko club, hizi ni dharau za waziwazi.
 
Back
Top Bottom