Management yetu ni ya hovyohovyo..Najaribu kuwaza kwa sauti,kwanini wasingesubiri walau Ole acheze mechi 20-25 za msimu ujao ndio wafikirie kumpa mkataba mpya baada ya kuona uelekeo wa timu chini yake?
Kulikuwa na timu zinafukuzia saini yake hadi tufanye kwa haraka hivyo hili suala la Ole?
Au ndio tumeamua mitatu tena ya kuishi kwa wasiwasi?
Huo mkataba kama haujasainiwa ungesitishwa kwa muda kwanza,Ole sio wa kumuamini sana.QPR 4 - MAN UTD 1
dakika ya 58
==========
brandon williams anacheza manchester,
Kama sijakosea,kusudio la kucheza hii mechi ni kupima namna gani timu imeweza kushika maelekezo ya mwalimu kimbinu/kiufundi kwenye uwanja wa mazoezi.Ila binadamu ni walalamishi sana, tungeshinda hii mechi ingesaidia kudetermine ubora wa timu yetu?
Vipi tukifungwa kiwe kipimo cha ubora, acheni hizo wakuu.
Babu uongo huo..sio kufungwa goli nne na QPR..na squad ina AWB,Matic,Lingard,Mata,Greenwood,Tuanzebe..Ila binadamu ni walalamishi sana, tungeshinda hii mechi ingesaidia kudetermine ubora wa timu yetu?
Vipi tukifungwa kiwe kipimo cha ubora, acheni hizo wakuu.
Amekumbushia kipindi kile akiwa mwalimu wa muda timu ilikuwa moto sana,alivyosaini mkataba tu tulipoteana kama sio sisi.Kaloga sana ili abaki
Ungebaki na ID yako ile ya kijanja, hii ya sasa imekua kama mchuzi wa mbwa iliyo poa.Man united itaenda kuwa club ovyo zaidi kuwahi kutokea miaka mitatu baadae.
halafu ollachuga habadilikiUngebaki na ID yako ile ya kijanja, hii ya sasa imekua kama mchuzi wa mbwa iliyo poa.
Wape hi wauni wa unga limited.
Chupi la mtumbaTimu ya kifala sana ,sasa sancho anamaajabu gani ?
Game tu ya kwanza na Leeds united mtakula kipigo cha mbwa koko kudadekiiiiii
Niko pamoja na kocha wangu mwanzo mwisho.
Nje ya mada.Hunipangii kunguni wewe, ..
Hii timu ya kipimbi tu haina tofauti na singida utd ,..
Yaani man utd in takataka tu ..
Msimu mwingine bila kikombe unakuja ,kudadekiii ...
Man city fans na hakuna wakunifanya
Hapa utakacho ambulia ni tusi tu.Nje ya mada.
Hivi bro una umri gani?
Ukiwa chini ya miaka 20, sikulaumu chochote.
Ila ukiwa zaidi ya miaka 30, basi wewe ni shabiki wa Arsenal ama Liverpool ulie choshwa na uhaba wa ubingwa.