Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii inshu ya pogba kutotakiwa na mashabiki wa psg imekaaje kaaje
Pogba hapo nyuma aliwahi kunukuliwa "Mama yangu haipendi PSG kwasababu ni shabiki mkubwa wa Marseille"

Sasa mashabiki mabango yamesomeka yakipinga club ya psg kumsajili pogba Kwasababu hio
20210724_140354.jpg
 
Nina imani msimu huu ni wa neema kwetu united. Mataji +2 ... endapo tukiimarika katika haya

1. Kucheza mipira iliyokufa kwa Accuracy zaidi aidha (defence & offense)

2. Kuimarisha Beki ya kati (CB)

3. Wan Bissaka aimarike Katika Mpira wa kisasa zaidi yaani Ki Mashambulizi zaidi

4. Wachezaji waongeze workrate yao haswa Rashford na Martial. Workrate inayohitajika ni kama ya CAVANI
Varane ataongeza kitu kikubwa sana sana kama akija.. nitamuona Ole ana Akili akiwatoa kina Tuanzabe, Mengi, Fish kwa mkopo kwanza, tuwe na Baily, Lindelof, Varane, Maguire..

Seriously tunaumiss sana ubora wa Martial.. Hakuwa tu na msimu bora ulioisha ila ni kati ya wachezaji bora sana akiwa kwenye ubora wake I hope atarudi fresh this season..

Ujio wa Sancho utamuimarisha sana AWB, huku Greenwood akitokea benchi (Japo dogo ni versatile anaweza kucheza mbele kama striker). Uzoefu wa Cavani pia ni mzuri kwa team..

Tusisahau na kiungo pia we need additional ya kuwapa pressure Freddy, Mcsauce, DVB, Pogba (Kama akibaki). Camavinga mzuri namrate zaidi ya Goretzka kwa kuwa ni majeruhi hana consinstency sana..

Anyway Ole anasogea na anajenga team pia, mabadiliko yanaonekana. Asisahau makipa wamekuwa wengi sana japo Lomero anaondoka ila Lee Grant, De Gea, Henderson, Heaton ni wengi sana, japo nadhani Grant anatusaidia ktk ukocha wa makipa ana experience kubwa sana.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Wazee link fanyeni yenu, tuna game na QPR

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app

nataka kujaribu hizo ila kama zitakataa itanilazimu nimtafute maestro Chief-Mkwawa
 
Nashangaa sana mashabiki team pinzani inawauma sana Ole ku renew contract pale OT... Nina uhakika Bodi ya Team kuna kitu imekiona kutoka kwake.
Jamaa amejaribu kuirejesha man u mahali ilipostahili kuwepo... ups and downs ndio sehemu ya mpira
.
.jurgen Klop wakati anafika liverpool alisubiri misimu takribani mi 3 kama sio minne mpka anakuja kunyanyua taji la EPL na UCL (Liverpool walimvumilia haliakua katika kipindi iko naye alipoteza Fainali ya Europa League)
.
.ko naeza kusema tuwe wavumilivu Msimu huu nyote ni mashahidi tulikua kwenye Mbio kabsa za kubeba taji la ligi kuu. Lakin tukaanza kuyumba mwishoni kwa makosa madogo madogo ikiwemo (Set pcs au mipira ilipkufa) na kupelekea kupoteza au ku draw match ambzo tu listahili ushindi
Najaribu kuwaza kwa sauti,kwanini wasingesubiri walau Ole acheze mechi 20-25 za msimu ujao ndio wafikirie kumpa mkataba mpya baada ya kuona uelekeo wa timu chini yake?
Kulikuwa na timu zinafukuzia saini yake hadi tufanye kwa haraka hivyo hili suala la Ole?
Au ndio tumeamua mitatu tena ya kuishi kwa wasiwasi?
 
Back
Top Bottom