Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

OFFICIAL: Manchester United Women have completed the signing of goalkeeper Sophia Baggaley.

John Murtough:
"Sophie [Baggaley] is another fantastic signing and will strengthen the goalkeeping department at the club which has always been fiercely competitive.
"She has lots of experience in this league and will be a great addition to this group of players. We’re looking forward to seeing her develop here at #mufc."

1627056592646.png
 
wiki tano hizi zilizobakia tutasikia tetesi nyingi sana zinazohusu wachezaji wanaocheza eneo la kiungo na ishu kubwa sana si tu thamani ya mchezaji husika tutakayohitaji kulipa bali ni ku-analyse ubora wake na madhaifu yake,

nje ya mustakabali wa paul pogba tayari tulishaweka mipango ya kusajili kiungo wa kuongezea nguvu atakayevuka ubora wa mcfred na scouts wamefika hadi afrika kutafuta mchezaji husika hii ina maana ya kwamba klabu ipo serious na sasa imeongezeka ishu ya pogba japokuwa taarifa rasmi za kutosaini mkataba mpya hazijazungumzwa na waandishi wenye nguvu
Ni vyema tusajili replacement ya Pogba tumwache aende ameshindwa kufikia matarajio yetu au Sisi tumeshindwa kufikia matarajio yake.
 
Ni vyema tusajili replacement ya Pogba tumwache aende ameshindwa kufikia matarajio yetu au Sisi tumeshindwa kufikia matarajio yake.

paul ni mchezaji hodari sana anapokuwa kwenye ubora wake na hata huko sokoni ni wachezaji wachache sana wanaolingana naye kiubora ila huenda ndoa yake dhidi ya manchester united haina baraka na mbingu hivyo ni bora kwa pande zote mbili kufikia maamuzi yatakayonufaisha mustakabali wa baadae kwa pande zote mbili.

mkataba mpya hautokuwa suluhisho bora kwa pande mbili hizo​
 
Pogba kuendelea kubaki United kutatuchelewesha kujenga timu inayojitegemea kuliko kuendelea kutafuta viraka vya kumfanya afanye vizuri.

Muda huo haupo labda kama bado hatuna uhitaji wa vikombe.
 
andre silva ameshasajiliwa na leipzig, kumuondoa msimu ujao patahitajika bajeti ilioshiba kama ataendeleza moto wa kufunga magoli.

Patrick Schick simfahamu
Ni mchezaji wa Borussia Monchengladbach na timu ya taifa ya Czech Republic.

Kwenye Euro2020 kafunga goli 5 katika mechi 5.

Bundesliga hana record mbaya pia katika mechi 33 alifunga goli 16. Kama takwimu zangu ziko sawa sawa.

Japo ana mkataba na Borussia mpaka 2025 bado kijana mdogo 25 years.
 
Pogba kuendelea kubaki United kutatuchelewesha kujenga timu inayojitegemea kuliko kuendelea kutafuta viraka vya kumfanya afanye vizuri.

Muda huo haupo labda kama bado hatuna uhitaji wa vikombe.
madhara mengine ya kuendelea kumshikilia ni kuzidi kuupanua mfumo wa malipo ya mishahara mikubwa kwa wachezaji, fikiria amekataa msahara wa paundi laki 3.5 kwa wiki na wakati huo huo una mchezaji mfano wa bruno anayecheza vizuri kila wiki na anahitajika kupewa mkataba mpya.

wakati huo huo umejaza matoto ya kiengereza kama rashford ambayo kwa sasa yanalipwa paundi laki mbili na upuuzi

tusipokuwa makini tutakuwa barcelona ya pili kwa kulipa wage bills za kipuuzi
 
Ni mchezaji wa Borussia Monchengladbach na timu ya taifa ya Czech Republic.
inaonekana yupo vizuri na si ajabu scouting yetu kama kawaida imeshampitia kitambo sana (wazee wa kusita sita kufanya maamuzi), yaonekana ulimwengu wa soka umepatwa na uhaba wa ghafla wa washambuliaji wenye ubora ukilinganisha na dunia ile ya miaka 20 iliopita iliojaza center forward pamoja na striker wa kutosha kwa kila bara.

tuna washambuliaji vijana takribani wanne pale academy, klabu haina budi kuwatengenezea mazingira bora ya kukuza mchezo wao kwa kuwapeleka sehemu sahihi zaidi (naamini miaka minne ijayo tutautawala ulimwengu kwa kuwa na washambuliaji wenye ubora kuliko timu yeyote kama tutakuwa makini)
  1. shola shoretire
  2. elanga
  3. joe hugil
  4. charlie mcneill
 
madhara mengine ya kuendelea kumshikilia ni kuzidi kuupanua mfumo wa malipo ya mishahara mikubwa kwa wachezaji, fikiria amekataa msahara wa paundi laki 3.5 kwa wiki na wakati huo huo una mchezaji mfano wa bruno anayecheza vizuri kila wiki na anahitajika kupewa mkataba mpya.

wakati huo huo umejaza matoto ya kiengereza kama rashford ambayo kwa sasa yanalipwa paundi laki mbili na upuuzi

tusipokuwa makini tutakuwa barcelona ya pili kwa kulipa wage bills za kipuuzi
Sioni tena sababu ya kuendelea kuwa na Pogba kikubwa tupate replacement tu.
 
Back
Top Bottom