Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Hamna mtu hapo
Uyo dogo kuna watu wanamchukulia poa kwakuwa ni mweusi.
Uyo dogo kuna watu wanamchukulia poa kwakuwa ni mweusi.
Ila kuna nani??Hamna mtu hapo
Ni yupi unadhani anafaa pale utd!?Hamna mtu hapo
kivipi?Good news.
Kwa ninavyoona mimi Pogba moyo wake haupo kwetu kwa sasa na kama atabaki ni tutakuwa tumempa tu ofa nzuri sana.kivipi?

wiki tano hizi zilizobakia tutasikia tetesi nyingi sana zinazohusu wachezaji wanaocheza eneo la kiungo na ishu kubwa sana si tu thamani ya mchezaji husika tutakayohitaji kulipa bali ni ku-analyse ubora wake na madhaifu yake,Ila akiondoka bila kusajili replacement tutakuwa hovyo sana japokuwa Donny yupo ila kwa majeraha aliyonayo sidhani kama atakuwa fit kucheza
Pamoja na kwamba haijathibitika kama hatakuwa sehemu ya kikosi cha united msimu ujao bado napendelea Paulo Pogba aondoshwe kikosini ili tutengeneze timu isiyomtegemea. Kwa kipindi cha miaka 5 aliyokaa united hajaweza kufikia kilele cha ubora wake ambao wengi tulitegemea kuuona bali vipindi vya ubora kidogo na kucheza chini ya kiwango muda mrefu.wiki tano hizi zilizobakia tutasikia tetesi nyingi sana zinazohusu wachezaji wanaocheza eneo la kiungo na ishu kubwa sana si tu thamani ya mchezaji husika tutakayohitaji kulipa bali ni ku-analyse ubora wake na madhaifu yake,
nje ya mustakabali wa paul pogba tayari tulishaweka mipango ya kusajili kiungo wa kuongezea nguvu atakayevuka ubora wa mcfred na scouts wamefika hadi afrika kutafuta mchezaji husika hii ina maana ya kwamba klabu ipo serious na sasa imeongezeka ishu ya pogba japokuwa taarifa rasmi za kutosaini mkataba mpya hazijazungumzwa na waandishi wenye nguvu
Hizi timu miaka ya baadaye huko zitakuja kuwa msaada kwa timu za wanaume financially. Utasikia Chelsea will receive 200€ and Hannah#mufc Women sign Hannah Blundell from Chelsea (believed to be part of Lauren James deal).
View attachment 1864515





Soka ime drop sana, yani huyu ndo anatingisha dunia kwa ss na akiwa uwanjani anakata viuno tu.PSG will do well to sell him nowView attachment 1864663
ukiwa mzembe utapigwa ukeni na kiumeniHizi timu miaka ya baadaye huko zitakuja kuwa msaada kwa timu za wanaume financially. Utasikia Chelsea will receive 200€ and Hannah![]()